Yes karibu bila shaka
Wapare buana!!
Ha ha ha ha haaaa Kasie na bujibuji happy new year
Mshana 2018 ikawe ya baraka nyingi kwako na familia
Mbona huu ujumbe moyo umefanya paaaaa!!! Ila sio mbaya, mshana jr is my brother...
Heeey Sam, mamboo habari za siku tele?
Nimekumiss kwakweli, usijali mshana hawezi nidhuru halafu kumbe ni kaka yako. ... ila kama utakuwepo jumanne waweza nisindikiza au utakuwa kazini?
Kwanza nimefurahi sana tumevuka mwaka salama na hasa kujua ubukheri wa siha njema. Hakuna jinsi unaweza kututofautisha na my bro...hata mimi naamini kabisa hawezi kuwa na madhara. Nenda tu atakupatia mupya kabisa za motomoto, si unajua mwaka wenyewe ndio tunaufungua kwenye box.
Ningependa sana kukusindikisa tena kuna mambo nafuatilia huko misugusugu ila ratiba imegoma. Kama bado upo tuombe uzima tu
Nikutakie kila la kheri Kasie
Hahaa macho yanataka kipaa
Zao la kolomije hili, full kishuzi.
Itakuwa Bado
Na bado anataka atabasam na kazi yote hiyo