Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,865
- 730,407
Hii imetokea kwenye kikao cha mgao wa pesa za kikundi walizowekeza kwa mwaka mzima.
Wakiwa kwenye kikao hicho pesa yote inayofikia 2,435,000/= taslimu iliwekwa kwenye ungo huku pembeni nje ya kikao kukiwa na kuku mmoja akiwa katulia tuli muda wote.
Ghafla kabla mgao haujaanza lilipita wingu angani na yule kuku kwa kasi ya ajabu alichumpa kwenye ungo na kudonoa sh 435,000/= taslimu na kutokomea kusikojulikana.
Hii yaweza kuwa mazingaombwe au uchawi lakini vyovyote iwavyo teknolojia ya uporaji inachukua sura mpya sasa.