Kali ya majambazi!

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
Kuna majambazi walifanikiwa kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri taarifa ya habari Itangaze tumeiba Sh Ngapi!
 
Kuna majambazi walifanikiwa
kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika
sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja
akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri taarifa ya habari Itangaze tumeiba
Sh Ngapi!

i like it
 
Kuna majambazi walifanikiwa kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri taarifa ya habari Itangaze tumeiba Sh Ngapi!

I like it too..!
 
Chezea waloibiwa nini..
Wataongeza cha juu,inkase kuna compansation wattu sana tu
 
Back
Top Bottom