Kali ya leo !!!!

Lubaluka

JF-Expert Member
May 18, 2009
496
44
Kikwete kwenu kaahidi nini ?

Kwetu kapita juzi kaahidi daraja la kisasa, tukamwambia hatuna mto. Akaahidi na kutuletea mto pia...!!!!

Je kwenu kaahidi nini ??
 
kikwete kwenu kaahidi nini ?

Kwetu kapita juzi kaahidi daraja la kisasa, tukamwambia hatuna mto. Akaahidi na kutuletea mto pia...!!!!

Je kwenu kaahidi nini ??

Kaidi kazi inaendelea hali bora kwa kila mtanzania.... Mpeni miaka mitano zaidi amalizie kazi!
 
Kwetu Mlandizi kahaidi kutuletea waizraeli watusaidie kulima nyanya kwenye bonde la mto RUVU. Tunamuuliza anajua anachokisema?
1. At what point of the river will the project be implemented?
2. Je anajua madhara ya uwekezaji huo kwa afya ya water users (Kibaha, Bagamoyo and Dar es salaam)?
3. Je hizo sumu za viatilifu atazikwepaje kwenye maji au watapractice organic agriculture which is impossible kwenye mazingira yale ?
4. Kama NAFCO walichemsha, kwa nini walichemsha.
5. Nadhani mkulu amechangnywa sana na na DR. PETER Slaa na ana hofu ya kushindwa ndo maana anatoa ahadi kama za mwendawazimu asiye kuwa na washauri wa kumuelekeza aseme nini.
 
Ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi kwa kila tulicho shuhudia akifanya kwa miaka mitano
 
kwetu hatuna barabara ya uhakika kutuunganisha na mikoa mingine, tulipomwomba atujengee barabara ya lami akatuahidi international airport. Nikadhani niko Zaire namsikiliza mobutu sese wa seko vile.
 
Kaahidi kutuletea watalii wengi singida tukamwambia hatuna mbuga za wanyama! akahidi kutuletea mbuga za wanyama pia?..................... :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::jaw:
 
Huku kaahidi kujenga barabara kuzunguka mlima kilimanjaro,ili iwe rahisi kwa watalii kuuzunguka mlima.
 
Kwetu Mlandizi kahaidi kutuletea waizraeli watusaidie kulima nyanya kwenye bonde la mto RUVU. Tunamuuliza anajua anachokisema?
1. At what point of the river will the project be implemented?
2. Je anajua madhara ya uwekezaji huo kwa afya ya water users (Kibaha, Bagamoyo and Dar es salaam)?
3. Je hizo sumu za viatilifu atazikwepaje kwenye maji au watapractice organic agriculture which is impossible kwenye mazingira yale ?
4. Kama NAFCO walichemsha, kwa nini walichemsha.
5. Nadhani mkulu amechangnywa sana na na DR. PETER Slaa na ana hofu ya kushindwa ndo maana anatoa ahadi kama za mwendawazimu asiye kuwa na washauri wa kumuelekeza aseme nini.

View attachment 15561
 
ndio hapo sasa!!!
 
Back
Top Bottom