lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 159
- 73
Baada ya kushinda kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi mdogo Geita Mwatulole CHADEMA 1600 CCM 250 vijana wamebeba box mfano wa jeneza lililo pambwa kwa mashada na ragi za CCM pamoja na msalaba na kuzungusha Mitaa yote kisha msafara ukaelekea makaburini kabuli likachimbwa na CCM ikazikwa rasmi na sasa sherehe inaendelea ktk ofisi ya CHADEMA