Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Mshahara wa dhambi ni mautiMtamuua jiwe nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwacheni baba j apumue jamani, msije mkafanya kesho aite makundi ya watoto wachanga kuongea nao ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiongozwa na kaka na dada zao wa nursery schoolMwacheni baba j apumue jamani, msije mkafanya kesho aite makundi ya watoto wachanga kuongea nao ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kama chiziMwacheni baba j apumue jamani, msije mkafanya kesho aite makundi ya watoto wachanga kuongea nao ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mliwapa kina ka-totoise jana hata wakanena kwa lugha!?Cocaine imeshuka bei?