KALI LINUX the best OS ever seen

KALI LINUX the best OS ever seen

Better Os depends on your day to day computational tasks.... Best OS never exist.

I have the same view on that.

Natumia Ubuntu and Linux mint kwa kazi ninazofanya, hata hivyo, I'm in love with M$ Office 2013.
Well, tushukuru kwamba hatupewi adhabu kwa kutumia pirated copies za M$ product au za developers wengine kama Adobe, AutoCAD, etc.
Nahitaji pia Windows ili niweze kutumia Lightroom. Kama ilivyoelezwa na wengine, utaona kwamba Linux (in this case Ubuntu na Mint) zina nafasi yake, hali kadhalika Windows OS ina nafasi yake.

Tutambue kwamba hali yaweza kuwa tofauti 10 years down the line. Mfano, huenda tukaanza kupigwa fine na Microsoft ukitumia pirated OS. Hapo Kenya walishasumbuliwa kwa hili. Pia, kasi ya development ya Open Source products ni kubwa, hata utaona leo tunaitumia kwenye simu zenye Android (Android inatumia Linux kernel). Miaka saba tu iliyopita Ubuntu ilikuwa ugly, unstable and unfriendly. ...Hivyo basi, ningeshauri kwa wenye nafasi na hamu ya kujifunza ulimwengu wa Open Source, wafanye hivyo kwani kuna faida zake.
Kuna member JF aliomba msaada wa kupata data zake kwenye PC yake ya Windows iliyoshindwa ku-boot, watu walimshauri atumie Ubuntu in a bootable flash (au Ubuntu live CD). Kama walau unajua Ubuntu inafananaje, inakupa ujasiri wa kuthubutu zoezi pendekezwa.
 
code writting imekuwa improved kwenye windows 10

Nothing has been improved significantly only the ability to copy and paste stuff in console and a few things that don't really improve the programming environment unless you are a .Net guy. Hiyo powershell hata sijaona kitu cha maana. True that you can't claim a certain os to be the best ever but when it comes to coding windows really suck.
 
I have the same view on that.

Natumia Ubuntu and Linux mint kwa kazi ninazofanya, hata hivyo, I'm in love with M$ Office 2013.
Well, tushukuru kwamba hatupewi adhabu kwa kutumia pirated copies za M$ product au za developers wengine kama Adobe, AutoCAD, etc.
Nahitaji pia Windows ili niweze kutumia Lightroom. Kama ilivyoelezwa na wengine, utaona kwamba Linux (in this case Ubuntu na Mint) zina nafasi yake, hali kadhalika Windows OS ina nafasi yake.

Tutambue kwamba hali yaweza kuwa tofauti 10 years down the line. Mfano, huenda tukaanza kupigwa fine na Microsoft ukitumia pirated OS. Hapo Kenya walishasumbuliwa kwa hili. Pia, kasi ya development ya Open Source products ni kubwa, hata utaona leo tunaitumia kwenye simu zenye Android (Android inatumia Linux kernel). Miaka saba tu iliyopita Ubuntu ilikuwa ugly, unstable and unfriendly. ...Hivyo basi, ningeshauri kwa wenye nafasi na hamu ya kujifunza ulimwengu wa Open Source, wafanye hivyo kwani kuna faida zake.
Kuna member JF aliomba msaada wa kupata data zake kwenye PC yake ya Windows iliyoshindwa ku-boot, watu walimshauri atumie Ubuntu in a bootable flash (au Ubuntu live CD). Kama walau unajua Ubuntu inafananaje, inakupa ujasiri wa kuthubutu zoezi pendekezwa.

kuhusu piracy Tz tuko nyuma sana na ata sheria zetu sizani kama kunasheria iliyozungumzia software piracy...

By the way i really like your swahili slangs your terms sound very impressing though i guess you've learned it . It's "kiswahili fasaha"

Just curiosity.
 
Back
Top Bottom