Kalenda Ya Mwaka 2020! NI KAMA MOVIE!

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Kalenda Inaanza Mwaka 2020.

1.1.2020
_Happy New Year

3.01.2020
Kifo Cha Qasem Soleiman Wa Iran
(Aliuwawa na Jeshi la Marekani)

26.01.2020
Kifo cha Mchezaji wa Mpira wa Kikapu(Basketball)Kobe Bryant


11.03.2020
_Corona inatangazwa kama Janga la Dharura

20.04.2020
Kifo cha Mchungaji na mwanasiasa
Getrude Rwakatare.

29.04.2020
Kifo cha Muigizaji wa India
Irrfan Khan(BollyWood)

8.06.2020
Kifo cha Aliyekuwa Raisi wa Burundi
Pierre Nkurunziza.

14.06.2020
Kifo cha Muigizaji wa BollyWood
Sushant Rajput Singh
Alijiua mwenyewe kwa kujinyonga.
Sababu ikiwa ni msongo wa mawazo.

24.07.2020
Kifo cha aliyekuwa Raisi wa awamu ya tatu Hayati Benjamini William Mkapa.

28.08.2020
Kifo cha Muigizaji maarufu aliyeigiza
Katika BLACK PANTHER.

Lakini 2020 Ni kama Movie Vile

Kwa Mashabiki wa soka
.Sakata la Bernard Morrison
.Sakata la Lionel Messi kuhama Barcelona
.Yanga kuifunga Simba
.Simba kulipa kisasi
Barcelona kufungwa na Madrid.
.Harmonize Vs Diamond(Yanga Vs Simba.

Kwenye Medani za siasa.
.Kurejea kwa Lissu
.Sakata la Wajumbe
.Mwaka wa Uchaguzi

Katika Jamii
.Kutajirika kwa Kaiser
 
IMG-20200831-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom