Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wakuu
Tutumie uzi huu kuelimishana kuulizana na uhabarishana juu ya masuala mbali mbali kuhusu KALENDA
Kupitia mtandao nimedodosa na na kuona kuna kalenda kuu mbili znazotumika sana duniani "gregoarian" na kalenda ya kufuata mzunguko wa mwezi(Lunar). Vile vie nimeona kuwa hata wamereani wamisri na wachina walikuwa au wana kalenda zao.
Tuelimishane, tuhabarishane

- Kuna kalenda aina ngapi?
- Zinafuata mfumo gani?
- Tofauti ya aina moja ya kelenda na nyingine ni nini?
- Usahihi wa hizi kalenda na ni vipi zinafidi mapungufu
- etc