Kalamu ya Mwl. John Pambalu

BAVICHA Taifa

Senior Member
Jul 25, 2013
117
661
Wakati Mhe. Rais yuko busy Zanzibar kurekodi matangazo ya kuvutia watalii. Wenye watalii wao wako busy Kisutu kuhudhuria Kesi ya Mhe. Freeman Mbowe ili kuona Haki inatendeka.

Leo wakati Mhe. Mbowe anafikishwa mahakamani kuhuduria kesi aliyofungua dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria mkuu wa serikali, kumekuwa na mabalozi na maafisa wa ubalozi wa nchi za Marekani, Swiden na Uingereza nao wamefika mahakamani hapo kufatilia mwenendo wa kesi ya Mhe Mwenyekiti.

Itakumbukwa kuwa tangu alipokamatwa Mhe. Mbowe kumekuwa na interest kubwa ya Kitaifa na kimataifa kutaka kujua nini hatma ya mwanasiasa huyu mahiri barani Afrika.

Aidha interest ya umma iliongezeka pale Mhe. Rais alipojitokeza hadharani na kuzungumzia mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti kwa kudai kuwa eti alikimbia nchi, wenzake wameshahukumiwa tayari, kumekuwa na siasa chafu za kuchoma magari nk. Madai yaliyopingwa vikali na Mhe. John Mnyika aliyepinga kwa ushahidi kuwa Mkt hakukimbia nchi. Alikuwepo nchini akiongoza Oparesheni HAKI iliyoenda nchi nzima, kwamba hakuna aliyehukumiwa tayari kwani kesi ndio kwanza inaanza na hakuna mahala popote ambapo kwa sababu ya siasa watu wanachoma magari ya watu nk.

Matumizi makubwa ya nguvu za jeshi la polisi kudhibiti wafuasi ndugu na jamaa wa Mhe. Freeman Mbowe kufika mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti ikiwa ni pamoja na picha za mnato na video zinazoonyesha ukatili wanaofanyiwa wafuasi wake wanapofika mahakamani ni moja kati ya vitu vinavyoifanya kesi ya Mhe. Freeman Mbowe kuwa na radha ya tofauti nchini na kimataifa.

Mabarozi mbalimbali ambao wanawakilisha nchi zinazoilaumu Tanzania kwa sababu ya kutoheshimu misingi ya Demokrasia na Utawala Bora wamekuwa wakifika mahakamani kufatilia mwenendo wa kesi licha ya serikali ya Tanzania kuwapiga biti kupitia kwa waziri wa mambo ya nje Mhe. Liberata Mulamula.

Marekani pia imekuwa sehemu ya mataifa hayo. Kwa nyakati tofauti Naibu waziri wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Siasa (Under Secretary of State for Political Affairs of the United States) Victoria Nuland amezungumza na Mhe. Rais na Waziri Mulamula akiitaka Tanzania kuheshimu misingi ya Demokrasia na Utawala wa sheria.

Kupitia mtandao wake wa Twitter amekuwa akiripoti jitihada zake mbalimbali lakini comments nyingi katika post za Victoria Nuland zimekuwa zikionyesha hisia za watu wengi kutaka kuona Marekani inakuwa sehemu muhimu katika kuunga mkono jitihada za watanzania kupinga uonevu wanaofanyiwa wapinzani wa serikali.

Licha ya jitihada kubwa inayofanywa na serikali ya kuitangaza Tanzania. Lakini dunia sasa ni kama kijiji kimoja. Ulimwengu hauna sababu ya kumsubiri Mhe. Mulamula kujua hali ya kisiasa ya Tanzania.

Ndio maana licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na serikali bado Denmark imeamua kufunga ubarozi wake nchini Tanzania. Na kutoa sababu zilizotolewana na waziri wa mambo ya nje wa Denmark, Jeppe Kofod amesema; “My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.” Akimaanisha, "Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambako demokrasia, haki za binadamu na maadili yapo katika shinikizo kubwa".

Napenda kumshauri Mhe. Rais kuwa kukua kwa utalii hutegemea na kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa mengine. Na mahusiano ya kidiplomasia yanaamliwa sana na ustaarabu wa taifa husika ikiwa ni pamoja na misingi ya utoaji HAKI, Demokrasia na Utawala wa Sheria.

Bado Mhe. anayo nafasi ya kuliunganisha taifa kwa kumuelekeza DPP kufuta kesi ya ugaidi dhidi ya Mhe. Freeman Mbowe. Kuwazuia polisi kuingilia shughuli za kisasa za wapinzani na kukitana na viongozi wa kisiasa kuzungumza ili kurudisha Imani ya kimataifa.

#KatibaMpya
#MboweSioGaidi

Wasalaam
John Pambalu
Mkt Bavicha taifa
jpambalu@gmail.com
30.08.2021.
 
huyu mama kuna siku atavuna anachopanda
 
John Pambalu,

Ni wazi sasa Chadema mmegeemeza nguvu yenu na huruma yenu kwa mabeberu na sio kwa Watanzania tena

Yaani ile nguvu ya umma ( Peoples Power) mliyokuwa nayo enzi zile za utawala wa Jakaya sasa haipo tena. Wananchi halisi wamewasusa

Ni aibu kubwa leo hii chama kinachojinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini kujitamba kwamba kesi ya Mwenyekt wake inapata sapoti ya uhudhuriaji wa hao wawakilishi wa mabalozi na sio wananchi wengi wa kawaida

Kaeni chini mjitathimini ni wapi mlibugi step mpaka ile máss support iliyokuwepo miaka ile imepungua kwa kasi namna hii
 
Yaani katika mtiririko wako wote wa andiko limesheheni sifa kwa "mabeberu" unawalamba miguu kana kwamba wao ndio miungu,ushauri wangu masuala ya ndani tuachie sisi wao wapambane na hali zao period
 
Hao mabalozi wanajua kiswahili au Kesi zinaongozwa kwa kingereza?
 
John Pambalu,

Ni wazi sasa Chadema mmegeemeza nguvu yenu na huruma yenu kwa mabeberu na sio kwa Watanzania tena

Yaani ile nguvu ya umma ( Peoples Power) mliyokuwa nayo enzi zile za utawala wa Jakaya sasa haipo tena. Wananchi halisi wamewasusa

Ni aibu kubwa leo hii chama kinachojinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini kujitamba kwamba kesi ya Mwenyekt wake inapata sapoti ya uhudhuriaji wa hao wawakilishi wa mabalozi na sio wananchi wengi wa kawaida

Kaeni chini mjitathimini ni wapi mlibugi step mpaka ile máss support iliyokuwepo miaka ile imepungua kwa kasi namna hii
Bora kuegemeza nguvu kwenye huruma kuliko kutegemea Mabunduki na mapanga kama mfanyavyo nyie kwenu ccm
 
Wakati Mhe. Rais yuko busy Zanzibar kurekodi matangazo ya kuvutia watalii. Wenye watalii wao wako busy Kisutu kuhudhuria Kesi ya Mhe. Freeman Mbowe ili kuona Haki inatendeka.

Leo wakati Mhe. Mbowe anafikishwa mahakamani kuhuduria kesi aliyofungua dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria mkuu wa serikali, kumekuwa na mabalozi na maafisa wa ubalozi wa nchi za Marekani, Swiden na Uingereza nao wamefika mahakamani hapo kufatilia mwenendo wa kesi ya Mhe Mwenyekiti.

Itakumbukwa kuwa tangu alipokamatwa Mhe. Mbowe kumekuwa na interest kubwa ya Kitaifa na kimataifa kutaka kujua nini hatma ya mwanasiasa huyu mahiri barani Afrika.

Aidha interest ya umma iliongezeka pale Mhe. Rais alipojitokeza hadharani na kuzungumzia mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti kwa kudai kuwa eti alikimbia nchi, wenzake wameshahukumiwa tayari, kumekuwa na siasa chafu za kuchoma magari nk. Madai yaliyopingwa vikali na Mhe. John Mnyika aliyepinga kwa ushahidi kuwa Mkt hakukimbia nchi. Alikuwepo nchini akiongoza Oparesheni HAKI iliyoenda nchi nzima, kwamba hakuna aliyehukumiwa tayari kwani kesi ndio kwanza inaanza na hakuna mahala popote ambapo kwa sababu ya siasa watu wanachoma magari ya watu nk.

Matumizi makubwa ya nguvu za jeshi la polisi kudhibiti wafuasi ndugu na jamaa wa Mhe. Freeman Mbowe kufika mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti ikiwa ni pamoja na picha za mnato na video zinazoonyesha ukatili wanaofanyiwa wafuasi wake wanapofika mahakamani ni moja kati ya vitu vinavyoifanya kesi ya Mhe. Freeman Mbowe kuwa na radha ya tofauti nchini na kimataifa.

Mabarozi mbalimbali ambao wanawakilisha nchi zinazoilaumu Tanzania kwa sababu ya kutoheshimu misingi ya Demokrasia na Utawala Bora wamekuwa wakifika mahakamani kufatilia mwenendo wa kesi licha ya serikali ya Tanzania kuwapiga biti kupitia kwa waziri wa mambo ya nje Mhe. Liberata Mulamula.

Marekani pia imekuwa sehemu ya mataifa hayo. Kwa nyakati tofauti Naibu waziri wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Siasa (Under Secretary of State for Political Affairs of the United States) Victoria Nuland amezungumza na Mhe. Rais na Waziri Mulamula akiitaka Tanzania kuheshimu misingi ya Demokrasia na Utawala wa sheria.

Kupitia mtandao wake wa Twitter amekuwa akiripoti jitihada zake mbalimbali lakini comments nyingi katika post za Victoria Nuland zimekuwa zikionyesha hisia za watu wengi kutaka kuona Marekani inakuwa sehemu muhimu katika kuunga mkono jitihada za watanzania kupinga uonevu wanaofanyiwa wapinzani wa serikali.

Licha ya jitihada kubwa inayofanywa na serikali ya kuitangaza Tanzania. Lakini dunia sasa ni kama kijiji kimoja. Ulimwengu hauna sababu ya kumsubiri Mhe. Mulamula kujua hali ya kisiasa ya Tanzania.

Ndio maana licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na serikali bado Denmark imeamua kufunga ubarozi wake nchini Tanzania. Na kutoa sababu zilizotolewana na waziri wa mambo ya nje wa Denmark, Jeppe Kofod amesema; “My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.” Akimaanisha, "Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambako demokrasia, haki za binadamu na maadili yapo katika shinikizo kubwa".

Napenda kumshauri Mhe. Rais kuwa kukua kwa utalii hutegemea na kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa mengine. Na mahusiano ya kidiplomasia yanaamliwa sana na ustaarabu wa taifa husika ikiwa ni pamoja na misingi ya utoaji HAKI, Demokrasia na Utawala wa Sheria.

Bado Mhe. anayo nafasi ya kuliunganisha taifa kwa kumuelekeza DPP kufuta kesi ya ugaidi dhidi ya Mhe. Freeman Mbowe. Kuwazuia polisi kuingilia shughuli za kisasa za wapinzani na kukitana na viongozi wa kisiasa kuzungumza ili kurudisha Imani ya kimataifa.

#KatibaMpya
#MboweSioGaidi

Wasalaam
John Pambalu
Mkt Bavicha taifa
jpambalu@gmail.com
30.08.2021.
Bandiko limeshiba. Akitaka achukur ushauri akitaka aache
 
Wakati ukuta......Dpp anaweza akawa ana maelekezo ili chadema kifutwe na msajili wa vyama vya siasa kuwa Ni chama Cha kigaidi bila kufahamu kuwa watakuwa wameiorodhesha Tanzania miongoni mwa nchi zenye magaidi. Tanzania itatengwa katika shughuli za kitalii.....hatutawapata wageni. Hapa Ni Kama busara imehama vichwa vya watu na kufikiria tu kukiondoa chadema. Let's us think big about this.
 
Back
Top Bottom