Naona kazi ya kumjenga Zitto sasa inafanywa kama ya wanamtandao wa CCM!.. Wiki moja watu kibao wakitumia mitandao ya kijamii press conference wamejitokeza kumjenga zitto: Ezekiel Kamwaga, Habib mchange, Eddo mwamalala, Mtera mwampamba!.. Zaidi ya yote wanaendesha harakati za kumng'oa SLAA wakishirikiana na Nape nnauye na fedha chafu za magamba na Zitto!. Eddo katoka Mbeya kuja kutoa tamko Dar Kama alivyosafiri last year kutoka Mbeya kwenda Dodoma kwa hela ya CCM ili ajiunge nao akiwa na Sambwee Shitambala!