Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

Imewahi nitokea wakati nasoma adavance mm nililipa lodge demu hakutokea nilichokifanya nilioga bafuni Yale maji ya moto na vile visabun vya lodge vilikua vinne hadi nilivimaliza maana ilikua ni mwendo wa kuoga Tu badae asubuh nikavaa gambuti zangu ruka ruka sana kwenye kitanda chafua sana mashuka...walau nikajisikia hela yangu imeenda kihalali
 
Mwendee kwa mganga konki... mtafute Maya Angelou anaweza kusaidia.

Utanishkuru baadaye

Nimecheka kweli aisee.

Unajua Kuna siku nilitaka kufanya hivyo

Niliingia gharama nyingi sana na nikabania mzigo nilichafukwa sana. Nilitamani nimfate sangoma mmoja ammerekebisha yule mshenzi.

Nikaona sio mambo yangu acha nimpotezee tu.

Huwa wanakera sana Wanawake wa siku hizi wabadilike watafanywa kitu mbaya.

Kuna jamaa juzi kaleta Uzi hapa baada ya demu kumzungusha kamtupia majini hadi demu kufa.

Kama humtaki mtu mwambie Plain wengine Wana visasi.
 
Kwanza Pole kuna kosa la kiufundi ulifanya ... ngoja nikwambie mimi mpaka ningie garama kwa demu tayari nimesha kuwa na uhakika wa kupewa kipochi manyoya tofauti na hapo una beti ...... ilitakiwa utengeneze mazingira kiasi kwamba yeye ndo akwambie baby nipo tayari nikukute wapi? Cjui kama u anielewa .... huyo inaonekana ulifosi akamua kukukomoa ...move on temana naye wala usimtafte tena
 
Ahsante mkuu. Tulielewana sema tu ndo hivyo hawa akili zao sijui zikoje.
 
Nimecheka kweli aisee.

Unajua Kuna siku nilitaka kufanya hivyo

Niliingia gharama nyingi sana na nikabania mzigo nilichafukwa sana. Nilitamani nimfate sangoma mmoja ammerekebisha yule mshenzi.

Nikaona sio mambo yangu acha nimpotezee tu.

Huwa wanakera sana Wanawake wa siku hizi wabadilike watafanywa kitu mbaya.

Kuna jamaa juzi kaleta Uzi hapa baada ya demu kumzungusha kamtupia majini hadi demu kufa.

Kama humtaki mtu mwambie Plain wengine Wana visasi.
Kweli mkuu, sema tu wengine hatuna roho ya visasi. Akinibania mimi ipo siku ataitoa kwa mwamba mwingine. Acha maisha yaendelee.
 
Imewahi nitokea wakati nasoma adavance mm nililipa lodge demu hakutokea nilichokifanya nilioga bafuni Yale maji ya moto na vile visabun vya lodge vilikua vinne hadi nilivimaliza maana ilikua ni mwendo wa kuoga Tu badae asubuh nikavaa gambuti zangu ruka ruka sana kwenye kitanda chafua sana mashuka...walau nikajisikia hela yangu imeenda kihalali
Mkuu kitanda nimekiacha kama kilivyo. 😂😂
 
Kijana umri na uzoefu wako bado ni mdogo sana,,,,,hivyo usipobadilika utateseka sana....ACHA UOGA

Acha nikupe hii,,,,, Siku zote hakikisha MAPATANO PWANI,,,BAHARINI MKIFIKA NI KUVUA TU.....Nikimaanisha kabla hujaenda na demu popote hakikisha kwenye mazungumzo yenu umeweka Clear nini kinaenda kufanyika(fikisha ujumbe wako kwa njia yoyote) na hakikisha anakubali ndio muanze Safari.,,,,,Mapatano yote mzungumze mkiwa pwani,,,mkishaingia baharini iwe ni uvuvi tu,,,,na sio mpo baharini mnaanza kuulizana tena Bei ya Kibua,,,

Na mara zote ukipata Demu usianze na option za gharama,,,,anza na Cheap & straight,,,,Unaweza kula mbususu kwa laki tatu,,,,wakati kihalali ilitakiwa ule wa Elfu kumi na Saba mia tano...

Be a Man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom