Korean Air Lines Flight 007: Ndege ya abiria iliyoruka juu ya anga la chuo cha siri cha usalama ikiwa na kamera za upelelezi (Surveillance Cameras)

"Inasemekana rubani wa ndege ya Korea alipunguza speed ya ndege kisha akawasha taa za nje za ndege akiashiria ya kwamba alikuwa tayari kufuata maelekezo ya ndege vita ili ende kutua wapi salama salmini bila mikwaruzano wala kugombana "

Chini yake ukasema "Kulingana na taarifa za jeshi inaonekana rubani wa ndege ya raia ya uvamizi alikuwa mbishi sana huku akikataa commands zilizo mtaka aifuate ile ndege ya vita ili imuelekeze wapi ni sehemu anapotakiwa kutua kwa usalama wake ,badala yake yule rubani mvamizi akaongeza speed na kuanza kukimbia kwa kasi ya ajabu kuelekeza ndege kwenda Finland."

Kati ya taarifa hizi mbili zinazo muhusu rubani mmoja wa ndege ya uvamizi ipi ni ipi sasa ?
Nilovyomuelewa mimi ni kwamba. Serikali ya Soviet ndiyo iliyopika habari za rubani kuongeza kasi. Kiuhalisia aliwasha taa za nje kuonesha kutii amri ya kutua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom