Kakopa kashindwa kulipa nauza Nyumba yake

Kakopa kashindwa kulipa nauza Nyumba yake

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Habari wana JF, niko mwanza nauza Nyumba Kwa mamlaka niliopewa na bank, Nyumba hii ipo nyamongolo jijini MWANZA huyu bwana nadaiwa milioni 37.thamani ya Nyumba hii ni milioni 130 imepimwa na inahati njoo nikupatie Kwa bei ya bure kabisaa
ImageUploadedByJamiiForums1411762461.069512.jpgImageUploadedByJamiiForums1411762493.305792.jpg
Tuwasiliane Kwa namba 0788752672
 
Mbona sioni kitu cha kumaliza million 130 hapo? Jamaa itakuwa kaamua kuwauzia watu wa benki sio kashindwa.

Unaweza kuwa na chumba kimoja cha tope chenye eneo la robo heka Nyerere road ukauza Kwa milioni 200 lakini ukawa na gorofa lenye eneo la heka 4 mabatini ukauza milioni10 na hata Mteja usipate, thamani ya jengo ni eneo lilipo..
 
Ebu acha ujinga,yani hiyo ndo nyumba ya ml 130? Duh,hata ukaroge.

Eneo uneliona na unajua mazingira iliyopo, kinachotakiwa hapa ni deni lake kulipika na thamani niliyotaja ni kulingana na evaluation report ya jiji sio mimi.kuna kitu kinaitwa uthaminishaji kutoka jiji ndio wamesema ina thamani ya milioni 130 lakini benki anadaiwa mil 37 tu
 
Unaweza kuwa na chumba kimoja cha tope chenye eneo la robo heka Nyerere road ukauza Kwa milioni 200 lakini ukawa na gorofa lenye eneo la heka 4 mabatini ukauza milioni10 na hata Mteja usipate, thamani ya jengo ni eneo lilipo..

Nyamongolo 130. ..kweli shilingi imekwisha makali.
All the best though!!
 
Eneo uneliona na unajua mazingira iliyopo, kinachotakiwa hapa ni deni lake kulipika na thamani niliyotaja ni kulingana na evaluation report ya jiji sio mimi.kuna kitu kinaitwa uthaminishaji kutoka jiji ndio wamesema ina thamani ya milioni 130 lakini benki anadaiwa mil 37 tu

bei hiyo siyo kwa nyamhongolo!
 
sasa alukopa kwako au alikopa benki? kama alikopa kwako benki imekupa mamlaka kivipi? na kama alikopa benki wewe unahusikaje mbona sielewi?au wewe ndo ulikopa umeshindwa kulipa ndo ukaamua kupiga mnada nyumba?

maana humu jf watu tunapenda sana kutumia nafsi ya tatu umoja kuwa flani ame.......ali...........hivyo nina..................
 
  • Thanks
Reactions: KVM
Please only serious buyer, this is business u have my number lets do business. Picha ya nyumba nimeweka namba za simu nimeweka Kama ni mhitaji wa nyumba hii ipo mwanza tuwasiliane .
 
Tutasubiri iuzwe kwa mnada,itaanza milioni1 ,ikifika m5 vitabaki vidole 10,,,,m10 vidole 5,,,m15 mara kwanza,ya pili na ya tatu nyumba imeenda
 
Tutasubiri iuzwe kwa mnada,itaanza milioni1 ,ikifika m5 vitabaki vidole 10,,,,m10 vidole 5,,,m15 mara kwanza,ya pili na ya tatu nyumba imeenda

Nitafanya mnada siku nikipata angalau wanunuzi wawili tofauti
 
Back
Top Bottom