The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Kokalanya hatumtaki , hao viongozi WA yanga si ndio hao waliizembea kusajili kipa kwenye dirisha dogo, hapa zahera ana tatizo gani ?Ingawa Beno alifanya wanayoyaita ni "makosa" katika kudai haki zake za msingi lakini ukweli unabaki palepale, ni kipa bora katika makipa waliopo Yanga kwa msimu huu. Yanga wamemuachia klabu Zahera, yeye ndo msemaji wa klabu, yeye ndo mhasibu na yeye ndio mwenyekiti au Rais. Hilo jambo litakuja kuigharimu Yanga!
Kuna wakati Kabwili alikuwa anaomba abadilishwe. Alitoa ishara ya kuomba mabadiliko ila Kindoki alimnasihi aendelee.