Kakobe na Sheikh Mtopea mko wapi kui-support Chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kakobe na Sheikh Mtopea mko wapi kui-support Chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Aug 9, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,983
  Trophy Points: 280
  Hawa watu ni muhimu na kwa jinsi CCM ilivyowatekeleza, inahitajika wawepo katika kampeni ya Chadema
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sijui kama wanaumuhimu wowote kwa chadema (maoni yangu binafsi)
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,983
  Trophy Points: 280
  wana umuhimu kaka maana wanaweza ku-testify uharamia wa CCM na ni viongozi hawa wa Waumini wao wenye ushawishi mkubwa
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hamuwakumbuki mpaka kwenye kukaribia uchaguzi, kama si ufisadi ni nini?
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,983
  Trophy Points: 280
  Chadema haijashika mpini ila makali kama Kakobe na Mtopea
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkiwapa dau la maana kwa nini wasiwapigie debe?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Hawa hawana msimamo, watu sampuli hii hawafai, hawaaminiki.
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  labda kwa huyo sheikh; lakini huyo bw. kakobe ameanza kuchoka baada ya kulumbana sana na serikali kuhusu lile sakata la umeme.


  aidha kashfa zake za hivi karibuni zimefichua kuwa kwa upande wa maadili, ambayo ndiyo nguzo ya ushawishi katika jamii, amekosa kwa kuwatumia wafuasi wake kama vitendea kazi.


  tatu, bw kakobe ambaye ni swahiba wa mrema. sasa amesalitiwa na mrema ambaye ni pro-ccm na wakati serikali ya chama hicho kinatishia usalama wa uwekezaji wa huyo mr
   
Loading...