Kakobe na FGBF sawa na Messi na Barca, hakuna wa kumweka benchi
Huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote. Kuna siku waumini wake watadai uhuru na demokrasia katika kanisa lao, maana kanisa lao viongozi wanachaguliwa na sio kuteuliwa. Haiwezekani wachungaji???/maaskofu??? wote wakawa hawataki ulaji!!!!!!!!! Nani asiye na watoto, mke/wake??? ambao wanataka matunzo, elimu etc, nani asiyetaka kujenga nyumba kwa familia yake baadaye waachie watoto in case etc. Kuna siku watadai demokrasia.
Kanisani huwa hakuna demokrasia, huwa kuna theokrasia. Mambo ya FGBF yanawahusu wao ndiyo maana maaskofu na wachungaji wakafanya hivyo kwani wanajua uzuri na ubora wa Kakobe basi. Na huwezi kusema kadanganya, mtu mmoja atadanganya watu 400+. Wenyewe wamesema FGBF ni ndege ya kuwapeleka mbinguni na rubani wake ni Kakobe tu mpaka atakapokufa Mungu atawapatia mwingine lakini kwa sasa huwaambii kitu bwana hata uje na tuhuma gani wao wanamjua.
Halafu ndugu yangu kanisani hakuna ulaji. Kwa mfumo wa FGBF waumini wa kanisa la mahali (local church) ndiyo wanahakikisha mchungaji wao anapata mahitaji yote anayotaka. Na kwa kanisa la DSM lazima washirika wa hapa wahakikishe Kakobe kama mchungaji wao anapata mahitaji yote muhimu ili aweze kuwahudumia vizuri, ndiyo maana hana shamba, duka wala akaunti benki
Kanisa la kakobe wameamua kumuchagua kakobe , na watu wote wanaakiri timamu, na ndio maana wamehama kutoka kwenye makanisa mengine na kwenda hapo, hata wakaamua kujiwekea kiongozi wao hata kama wataamua atawle milele.Sasa kwa nini watu wasio wa fgbf waingilie uchaguzi wa fgbf?Kwa nini ccm na mafisadi wanaiingilia uchaguzi wa makanisa??Mwaka jana akina lowasa walitaka kuingilia uchaguzi wa kkkt leo watu wanahoji uteuzi wa kakobe wakati hawayatambui mafundisho ya kakobe!!!Sasa wewe kama hutambui ulokole kwa nini uhoji uchaguzi wa ulokole???Huu ndio udini!!!Kuingilia maamuzi ya dini nyingine!!!John worsey alipinga mambo ya katoliki akajitoa huko na kuanzisha huduma yake na wala hakuhoji mambo ya katoliki!!!Martini ruther aliasi katoliki , na kuanzisha kkkt na hakuwahi kuhoji mambo ya katoliki!!!Sasa wewe unahoji uteuzi wa kakobe , je wewe ni fgbf ? Au unatumika na ccm[/QUAcha uongu ndugu usiwe shabiki aliyepitiliza achafact ziongee zenyewe unatudanganya martin luther hakuanzisha kkkt.kkkt maana yake kanisa la kiinjili la kilutheri la kitanzania.martin luther alikuwa mjerumani na kanisa lililoanzishwa na yeye siyo kkkt ila kkkt ilianzishwa na wamishionary wa kiluther kutoka ujerumani.
Huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote. Kuna siku waumini wake watadai uhuru na demokrasia katika kanisa lao, maana kanisa lao viongozi wanachaguliwa na sio kuteuliwa. Haiwezekani wachungaji???/maaskofu??? wote wakawa hawataki ulaji!!!!!!!!! Nani asiye na watoto, mke/wake??? ambao wanataka matunzo, elimu etc, nani asiyetaka kujenga nyumba kwa familia yake baadaye waachie watoto in case etc. Kuna siku watadai demokrasia.
Tunapo angalia namna ya hizi chaguzi za makanisa tusisahau pia kwamba RC nayo papa akiisha chaguliwa ni mpaka kifo kimtenganishe nao
.
Kaka umeweka hii thread kwa ajili ya maoni ya watu sasa unachofanya ni kumtetea kakobe why? ina maana hamna uhuru wa maoni?
Kakobe na FGBF sawa na Messi na Barca, hakuna wa kumweka benchi
John Huss alijitoa Roman catholic akaanzisha Moravian ChurchKanisa la kakobe wameamua kumuchagua kakobe , na watu wote wanaakiri timamu, na ndio maana wamehama kutoka kwenye makanisa mengine na kwenda hapo, hata wakaamua kujiwekea kiongozi wao hata kama wataamua atawle milele.
Sasa kwa nini watu wasio wa fgbf waingilie uchaguzi wa fgbf?
Kwa nini ccm na mafisadi wanaiingilia uchaguzi wa makanisa??
Mwaka jana akina lowasa walitaka kuingilia uchaguzi wa kkkt leo watu wanahoji uteuzi wa kakobe wakati hawayatambui mafundisho ya kakobe!!!
Sasa wewe kama hutambui ulokole kwa nini uhoji uchaguzi wa ulokole???
Huu ndio udini!!!
Kuingilia maamuzi ya dini nyingine!!!
John worsey alipinga mambo ya katoliki akajitoa huko na kuanzisha huduma yake na wala hakuhoji mambo ya katoliki!!!
Martini ruther aliasi katoliki , na kuanzisha kkkt na hakuwahi kuhoji mambo ya katoliki!!!
Sasa wewe unahoji uteuzi wa kakobe , je wewe ni fgbf ? Au unatumika na ccm
Mkuu ! Je, inawezekanaje mtoto kuwa Baba ?
Ndio maana Askofu Kakobe atakuwa askofu mkuu mpaka kifo;kama papa katoliki.