pole sana,kama jambo hulijui ni vizuri ukakaa kimya,kuropoka namna hii unajichumia laana ya bure.hao wengine wakitaka kuwa askofuu mkuu wakafungue makanisa yao lile nila kakobe akifa na huduma yake imekwisha
pole sana,kama jambo hulijui ni vizuri ukakaa kimya,kuropoka namna hii unajichumia laana ya bure.hao wengine wakitaka kuwa askofuu mkuu wakafungue makanisa yao lile nila kakobe akifa na huduma yake imekwisha
hao wengine wakitaka kuwa askofuu mkuu wakafungue makanisa yao lile nila kakobe akifa na huduma yake imekwisha
Wapi Kakobe katukana??Au mmezoea misifa tu????Huyu ndo Kakobe anayekosoa rais kwa matusi
Unanilulza mimi ili iweje. Sikiliza mwenyewe! Au bado hujamsikiliza na unajadili JF?Wapi Kakobe katukana??Au mmezoea misifa tu????
Tatizo lako umekunywa maji ya Bendera hata hujitambui unaimba wimbo usioujua wa kusifia tu!!Badala ya kujibu hoja za Kakobe mmeshaanza kubwabwaja kama misukule!!!Kazi kwenu yeye katoa hoja moja tu LUMUMBA yote wametikisika na kukosa majibu!!!!Fikiria je akitoa nyingine mtaanza kuuliza uraia wake!!!!Unanilulza mimi ili iweje. Sikiliza mwenyewe! Au bado hujamsikiliza na unajadili JF?
Ndo uzuri wa anonymity. unapoanza kwa kumsifia Kakobe, hata kama ungekuwa na elimu ya chuo kikuu nitakuona kama uliyepoteza muda. Nakupa ushauri wangu nilioutoa kwa mbumbumbu mwenzako.Tatizo lako umekunywa maji ya Bendera hata hujitambui unaimba wimbo usioujua wa kusifia tu!!Badala ya kujibu hoja za Kakobe mmeshaanza kubwabwaja kama misukule!!!Kazi kwenu yeye katoa hoja moja tu LUMUMBA yote wametikisika na kukosa majibu!!!!Fikiria je akitoa nyingine mtaanza kuuliza uraia wake!!!!
Ndo uzuri wa anonymity. unapoanza kwa kumsifia Kakobe, hata kama ungekuwa na elimu ya chuo kikuu nitakuona kama uliyepoteza muda. Nakupa ushauri wangu nilioutoa kwa mbumbumbu mwenzako.
Kama una digrii, na kama ulisoma kwa mkopo basi elewa kwamba hilo ni deni bila faida maana uelewa wako unamtegemea Kakobe.
Rais wa marekani anakosolewa sembuse huyu wetuLa muhimu Mheshimiwa akatubu na kugeuka asisubiri ghadhabu ya Mungu.
Kinachonishangaza umejoin 2007. Kwa miaka yote hiyo, kwa nini hujajiongeza ufahamu? Unavyoandika ni kama unaataraji kujiunga na kidato cha kwanza! Mjadala wa Kakobe na upuuzi wake unaiweka CCM, unatukana ukiamini ndo point, Unaona hoja ya Kakobe wakati haionekani. Hoja ni ipi? Naomba uitaje hiyo hoja ya Kakobe.Ndiyo maana mimi siwezi kuwa ccm hata siku moja maana walioko huko n kama Mazezeta akili ya kushikishwa .Mimi nimesema Askofu Kakobe ametoa hoja basi njooni mjibu hoja zake siyo kubwabwaja ovyoovyo kama wewe unavyofanya!!!
Wewe ni mbumbumbu huwezi kuelewa chochote sana sana utanisababishia BAN za bure kumbe uelewa wako ni mdogo.Badala ya kujibu hoja za Askofu Kakobe umekomaa kujua nimejiunga lini JF,Kama una ubavu jibuni hoja zake siyo kuanza ku-attack watu ovyo!!!Kinachonishangaza umejoin 2007. Kwa miaka yote hiyo, kwa nini hujajiongeza ufahamu? Unavyoandika ni kama unaataraji kujiunga na kidato cha kwanza! Mjadala wa Kakobe na upuuzi wake unaiweka CCM, unatukana ukiamini ndo point, Unaona hoja ya Kakobe wakati haionekani. Hoja ni ipi? Naomba uitaje hiyo hoja ya Kakobe.
btw. mbona unaandika Kakobe ni askofu? Neno askofu unalianza kwa herufi kubwa, ndo uaminifu?
Unafikiri kanisa ni chama cha siasa?Huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote. Kuna siku waumini wake watadai uhuru na demokrasia katika kanisa lao, maana kanisa lao viongozi wanachaguliwa na sio kuteuliwa. Haiwezekani wachungaji???/maaskofu??? wote wakawa hawataki ulaji!!!!!!!!! Nani asiye na watoto, mke/wake??? ambao wanataka matunzo, elimu etc, nani asiyetaka kujenga nyumba kwa familia yake baadaye waachie watoto in case etc. Kuna siku watadai demokrasia.
Acha kutulisha matango pori wewe.Jamani mwamakula muongo kabisa kkkt ilianzishwa na wamishenari wa kilutheri kutoka ujerumani na siyo martin luther.