Kakobe Askofu Mkuu wa kudumu FGBF

Wewe ni mbumbumbu huwezi kuelewa chochote sana sana utanisababishia BAN za bure kumbe uelewa wako ni mdogo.Badala ya kujibu hoja za Askofu Kakobe umekomaa kujua nimejiunga lini JF,Kama una ubavu jibuni hoja zake siyo kuanza ku-attack watu ovyo!!!
Hoja gani? Nauliza kwa maandishi, hoja gani?
Kusema ana pesa ndo hoja?
 
Bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani,Nimesema kama una ubavu wa kumjibu jibu hoja za Askofu kikamilifu siyo kuja hapa unabwabwaja ovyo ovyo!!!!!
 
Ukristo una maaskofu wa madhehebu, huyo unamuita Askofu wakati unajua ana kikanisa. Endelea siku akikuhitaji kwa mengine ndo utaitafuta mbingu ya kweli.
 
Jibu hoja zake hata kama unamdharau!! huna jibu Is better you shut-up your mouth rather than to expose to us naked!!!
 
Duh! Hapo sasa wa-TZ ndo nashindwa kuelewa. Mtu akizidiwa anajaribu kutumia kiingereza. Sasa someni kilichoandikwa na mtu huyu. Ndo maana lazima tupate ajira hapa hapa bongo. Lugha kama hii utaitumia wapi? Nani atakuelewa? Halafu yuko JF tangu 2007, akichangia na huenda hapo ndo ana nafuu.
 
Duh! Hapo sasa wa-TZ ndo nashindwa kuelewa. Mtu akizidiwa anajaribu kutumia kiingereza. Sasa someni kilichoandikwa na mtu huyu. Ndo maana lazima tupate ajira hapa hapa bongo. Lugha kama hii utaitumia wapi? Nani atakuelewa?
Hata kama hutaelewa wewe jibu hoja za Askofu Kakobe wala si kuangalia nimeandika nini maana hapa ni hoja za Askofu Kakobe zinatakiwa kujibiwa pia ujue mimi si mzungu wala sihitaji kwenda kwa wazungu kuomba kazi mimi tayari nina kazi yangu.Najiamini,Najitambua na Najisimamia,Askofu Kakobe ameshusha rungu jingine yeye kazi yake ni kuwaambia watawala makosa yao na hahitaji chai ya ikulu maana majani yake ni yaleyale ya mfindi wala hahongeki na ukitaka mkopo nenda ukakopeshwe.wengi wenu ccm ni mapoyoyo.acheni kuweweseka jibuni hoja zake!!!
 
Unanipotezea muda. Wazungu wanatumia lugha gani?
 
Back
Top Bottom