Najua wazi Askofu AbdulHalim itakuuma sana, lakini huo ndio Ukweli. Tunamtaka Pengo na kabineti yake wagombee uongozi au waseme wazi nani kiongozi mzuri ili tumchague na watukataze kuchagua viongozi fulani ambao ni wabaya.
Hata JK Nyerere aliwahi kutamka bayana kuwa Malecela, Lowasa sio viongozi wazuri na alipendekeza Mkapa kama kiongozi Safi.
Pengo aige mfano huo
This is absolutely wrong and rediculous!
U guys have got common senses and you can think for yourselves!
Kazi ya kiongozi kama huyo ni kuonyesha njia, na kisha wengine wafuatilie!
Nyerere alienda Extremes kwa kuwataja, na ndo maana hata wewe
umeweka hiyo kama reference, maana imeingia kwenye kumbukumbu za
dunia!... na sio jambo rahisi kama unavyowaza!
__________________
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?
Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?
Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.
BroVOOOOOOOOOO KAKOBEEEEEEEE. wee ndio askofu sahihi hapa Tanzania. tunauthamini sana mchango ako hadhimu
Wew e Barubaru na HMAFIF!Ahsantum Askofu Kakobe.
Wew e Barubaru na HMAFIF!
Matatizo yenu yanajulikana tatizo kubwa ni elimu. Uwezo wa kufikiria ndio huo. Mtu kajiita Askofu yeye mwenyewe kwa hisani ya mjinga mmoja anayeitwa Ruksa lakini mbona hamjafaidika na hiyo sera mwaishia kutembeza bakuli la tende upuuzi mtupu angalieni msiharibu funga yenu kwa kushabikia upuuzu hamtambui huu ni mwezi wa Toba!!!Kalakabaho!!!
Wew e Barubaru na HMAFIF!
Matatizo yenu yanajulikana tatizo kubwa ni elimu. Uwezo wa kufikiria ndio huo. Mtu kajiita Askofu yeye mwenyewe kwa hisani ya mjinga mmoja anayeitwa Ruksa lakini mbona hamjafaidika na hiyo sera mwaishia kutembeza bakuli la tende upuuzi mtupu angalieni msiharibu funga yenu kwa kushabikia upuuzu hamtambui huu ni mwezi wa Toba!!!Kalakabaho!!!
Najua wazi Askofu AbdulHalim itakuuma sana, lakini huo ndio Ukweli. Tunamtaka Pengo na kabineti yake wagombee uongozi au waseme wazi nani kiongozi mzuri ili tumchague na watukataze kuchagua viongozi fulani ambao ni wabaya.
Samahani sana usiniusishe na utaahira wako..na tena unikome. Watu waisha kubaini unamatatizo kwenye kichwa chako na nimewacha kubishana na watu kama wewe kitambo sana, hivyo tafuta watu wenye utindio wa akili kama wewe labda watakusikiza..
and by the way, unaingia rasmi ktk list yangu ya watu wasio na input kuanzia sasa. Hongera.
So from now on, talk to the hand.
Bila kujali darasa lake, alichoongea ni MVUKE TU. Ingekuwa na maana kama angetaja vipengere vilivyochemka (ambavyo sijaviona).kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?
Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.
.Kakobe has some loose nuts.Mara ya kwanza alikuwa ana-criticise sana Kingunge na kuunga mkono waraka wa Ktoliki then amekurupuka anamshutumu Pengo na kumwita Kingunge a visionary leader.
Nashindwa kuelewa waraka wa katoliki una tatizo gani wakati kile kipindi cha uchaguzi unatolewa.
Na saa hivi kanisa katoliki wametangaza semina kwa waumini wake mpaka ngazi za chini kabisa.
Naona Kingunge ataongea zaidi!
hivi hizi takwimu huwa mnazitoa wapi?.
Unajuwa waraka huu wa wakatoliki wa kila mwaka una siri nzito sana lakini mwaka huu wameshitukiwa.
Kwa Takwimu za haraka. katika TZ wakatoliki ni chini ya 20%. Pili ndani ya Bunge la Muungano wakatoliki ni zaidi ya 73%.
Tumia akili kidogo. Itakuwaje 20% of population ya Tanzania lakini kwenye chombo cha kutunga sheria wapo 73% kuna siri gani hapo?
sasa hapo utajuwa wanahimiza nini kwa waumini wao na hatimaye kwa taifa zima ndio maana kila anayeupinga waraka huu basi ni msaliti na lazima atukanwe na kudhalilishwa.
Sio vizuri tuwe fair, You can fool some people some time but you cant fool all the people all the time
Kakobe ni sawa na jambazi tu, hata wanaabudu ktk kanisa lake nina wasiwasi nao. Dhahabu alizokuwa anakusanya amepeleka wapi? kwanza anatakiwa ashitakiwe.
Hata siku moja mhuni kama kakobe hataweza kujilinganisha na Pengo mpaka atakufa, wala hiyo FGBF haitaweza kuifikia RC mapa mwisho wa dunia. Wataishia kupora sadaka za waathirika na wagonjwa wengine tu, na hii ni dhambi.
Huwezi kuwa na akili timamu ukaenda kuabudu kwa kakobe, labda uwe mgonjwa na umekata tamaa ya kuishi.