Kakobe aongoza wimbo wa kumpongeza Rostam Aziz

Acha ushangingi wewe..... Msanii baba yako

Mchungaji punguza jazba! Jibu hoja acha matusi. Halafu futa jina ana sajili kwa jina jingine. Mods mnaona watu wanatumia majina ya watu na wanatoa matusi! Hivi kweli hamwoni? Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan
 

Thank you...I will remain in my mainstream church...for now...goodbye!!
 

sasa na wewe swala la kakobe kupiga kampeni unadhani ni sahihi kwa imani yake? nikusaidie tu, ni hivi kakobe alibatizwa na E.A.G na kwa imani ya uko hairuhusu kufanya alichokifanya na mzee mosses(askofu mkuu E.A.G) alimtaka atubu katika hilo na kakobe alienda katika moja ya mkutano mkuu wa E.A.G dodoma na alitubu.Kama kweli wewe ni mkristo bac umekalili vibaya kwani binafsi kama kweli kakobe kaimba bac hii ni fedheha mbele ya madhabahu ya BWANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…