Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Mimi nimeweka mstari mmoja tu, ya Kakobe sijui ninachojua amemshauri "MKONO WA CHUMA" [HASHTAG]#AKATUBU[/HASHTAG]Bible inavitabu 66 so kipi ndio kakobe anatumia?

Pumba tupuMungu huwa hatumi watu wanaotumilishwa na watu
Watanzania hawa wa jamii forum au hadi wa huko namtumbo?Et juhudi za rahic pumbavu kabisa wewe huyo rahic wako alikuta uchumi unakuwa kwa wastani 7:7% leo umeshuka mpaka 6:8% according to Dr mpango bado unasema juhudi? Juhudi za kuua uchumi wa nchi? Kwataarfa yako wa tz waleo syo wajinga kama wale wa zidumu fikra za mwenyekiti.most of them they know what's going on
hivi kati ya waumini na supports wa kakobe na ninyi wadudu wa sisiemu ninani mtumwa kimawazo? hoja zenu zote mnazilazimisha tu hadi mnajiona aibu wenyewe jinsi mlivyo empty. hadi nafsi zenu zinawasuta, sema tu kwasababu mnapewa wali ndo mnakomaa. ndio maana nilisema masisiemu vichwa vimechanganyikiwa hadi vimekuwa vya kijani kiasi kwamba hata mkipewa kimba la kijani mnaweza kukikaza na kulitafuna lote.Kuwa na makanisa sio kigezo cha kuwa mtumwa wa kimawazo tuu la kundi la watu ambao hawana masrahi na nchi
Nb... akili ykimejaa matoopppee tuuu
Hebu amka kutoka usingizini, kumekucha na pia jaribu kuonyesha hata kidogo ya kuwa Mungu hakukosea kukuumba wewe ni binadamu badala ya MBUZIPumba tupu
Jitahidi kupita kama huelewi mada
Unaendelea jaza pumbaHebu amka kutoka usingizini, kumekucha na pia jaribu kuonyesha hata kidogo ya kuwa Mungu hakukosea kukuumba wewe ni binadamu badala ya MBUZI
Naogopa kukujibu kwakuwa naona kama hujui hata unachokiongelea, aidha yawezekana hata hiyo siasa pia hujui! Tukikwambia kesho ama leo utwambie kilichotokea kwenye chaguzi za madiwani kwa maana ya mchakato / process hutakuwa na lolote lakusema zaidi ya kukenua meno kwa matokeo/outcomes. We endlea kuamini kuwa hawana agenda!Kaka kwani juzi si kulikua na kampeni za uchaguzi wa madiwani na hawa jamaa si walipiga kampeni kwenye maeneo mbalimbali. Niambie ulisikia nni cha ajabu kilichotrend kiasi cha kusema kweli wapinzani wamezuiwa kufanya kampeni basi kuna mambo mengi tuliyakosa. Ukweli ni kwamba hawa jamaa hawana ajenda wala hoja hata uwaruhusu kesho wafanye hiyo mikutano ya hadhara hakuna kitu cha maana cha kuwaeleza wananchi zile zinaitwa zilipendwa. Magu hatoi kiki tena kama enzi zile za jakaya kila kitu anafanya yye.
Infact huna cha kujibu.. kila kitu katika uchaguzi ule kilifanyika plus campaign walifanya maeneo yote waliyopaswa kufanya tuambie wapi kama hawakufanya campaign. But hizo campaign hazikua na impact yoyote ile. Na ndo maana wakatafuta sababu za kuweka mpira kwapani baada ya kuona watashindwa uchaguzi. Jipangeni.. sasa hvi mnajificha nyuma ya kakobe ?!Naogopa kukujibu kwakuwa naona kama hujui hata unachokiongelea, aidha yawezekana hata hiyo siasa pia hujui! Tukikwambia kesho ama leo utwambie kilichotokea kwenye chaguzi za madiwani kwa maana ya mchakato / process hutakuwa na lolote lakusema zaidi ya kukenua meno kwa matokeo/outcomes. We endlea kuamini kuwa hawana agenda!
Ngoja nikuache... tatizo ni IQUnaendelea jaza pumba
Hebu anza mwaka na akili kidogo
Yaani bado unajipambanua ulivyo vuuuuuuuuuNgoja nikuache... tatizo ni IQ
Hahaha....najichora?? Jaribu kukua bas hata kdgYaani bado unajipambanua ulivyo vuuuuuuuuu
Acha pumba unajichoresha tuu
Pumba unaziendeleza bora ujificheHahaha....najichora?? Jaribu kukua bas hata kdg
ukitaka kumjua mtu MJINGA mruhusu aongee.. jina lako tuu linasadifu kuwa kichwani umejaa MATOPEPumba unaziendeleza bora ujifiche
Una watoto kweli mkuu unaotegemea wakuige wewe kama mama???
LETE USHAHIDIKAKOBE ALITUMWA? MBONA WAPINZANI WAMEFANYA MASHAMBULIZI YAKE DHIDI YA RAIS MAGUFULI KUWA AGENDA ZAO? WAMEKOSA AGENDA ZA KUJISHINDANISHA NA SERIKALI YA CCM KWA WANANCHI?
Tangu Kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship(FGBF), Zacharia Kakobe atumie Madhabahu kumshambulia rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Pombe Magufuli, Wanasiasa wa Upinzaji wamedandia shutuma za Kakobe na kuzifanya agenda zao kuendeleza kwa kasi ya ajabu porojo za kutaka kuwafanya viziwi na vipofu Watanzania waache kuona na kusikia juhudi za Serikali chini ya Rais Mahiri kabisa, JPM za kuijenga Tanzania mpya na badala yake waamini uzushi, porojo na vimaneno maneno vya hovyo hovyo kwamba rais akatubu, sijui rais hakosolewi na upuuzi mwingi tu.
Kwa jicho la tatu unaweza kuamini kuwa yale hayakuwa maneno ya KAKOBE bali alilipwa na kutumwa kufanyakazi ya wanasiasa ambao kupitia kwa viongozi wa dini aina ya Kakobe wanaweza kupambana na serikali ambayo kimsingi imeonesha kuzikonga nyoyo za wananchi wake kutokana na uchapakazi wake uliotukuka.
Hivi Unawezaje kutofautisha maneno ya Kakobe na porojo za wanasiasa kwamba kuna utawala wa kidikteta, kuminya demokrasia, kutokubali kukosolewa? Hivi hayo madhaifu ya Serikali yanaonekana machoni mwa wana siasa na akina Kakobe? Wanachi wa kawaida ambao kiu yao ya siku nyingi ya kutaka kuona watoto wao wanasoma bure, madawa yanapatikwpana mahospitalini, madini yao, gesi yao, Mafuta yao hayaibiwi na wajanja, Barabara za juu na chini zinajengwa, Reli ya kisasa inajengwa, bei nzuri ya mazao, urasimu katika kupatikana kwa pembejeo na mbolea unatokomezwa, wanafunzi wanapata mikopo kwa wakati , wao hawana macho?
Najiuliza tu:
Kwanini upinzani unajipa kilema cha kujimaliza kwa hoja na mbinu nyepesi nyepesi sana kiasi hiki kupambana na Serikali mahiri kama hii ya awamu ya tano? Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 upinzani utachomoka kweli kwa hoja za akina Kakobe kweli? Eti serikali haikosoleki, kweli? Mwananchi apigie kura upinzani kwa sababu hiyo tu? Sawa haikosoleki lakini tuna maji, tunapata mbolea kwa bei nafuu na kwa wakati, watoto wetu wanasoma bure na wale wa vyuo vikuu wanapata mikopo kwa wakati, madawa yako hospitalini n.k. Hivi wananchi wakiwapa hizo kama sababu za kumchagua tena JPM mtakuwa na la kuwashawishi tena?
Wapinzani mnapoteza muda kukwapua mashambulizi ya akina kakobe na kuyafanya agenda zenu , mtaumbuka, muwe wabunifu wa hoja nzito za kwenda nazo kwa wananchi siyo hizi za kuwanunua nunua wenye njaa kama akina Kakobe na kuanza kuzikomalia.
Mnachekesha sana. Hivi mnategemea Mshinde uchaguzi kupitia waumini wa Kakobe ambao hata kanisa lake pale Mwenge pamoja na kuwa dogo lililojibananisha pale njiani halijai? BAVICHA mmoja akasema CCM msimpuuze Kakobe ana waumini wapiga kura mil.10. Ujinga mtupu. Watanzania hatujafikia mil.50. Watoto ambao hawajafikia umri wa kupiga kura ndiyo wengi, wanaojiandikisha kupiga kura ni wengi lakini wanaojitokeza kupiga kura hata mil.10 hawafiki. Ina maana wote wanaokwenda kupiga kura wote wanatoka kwa Kakobe? Hizi ni akili za Makarai ya Zege kwelikweli.
Waumini wa Kakobe wenyewe ni kama watu waliokata tamaa ya maisha sijadhani kama wanakuwa na hata wazo la kupiga kura. Ni wale wanaokwenda kuvuliwa mikufu ya dhahabu na Kakobe na kuiuza kwa ajili ya kujipatia fedha huku akiwahadaa kwamba vitu hivyo vya thamani ni chukizo kwa Mungu, hawa watapata muda wa kupiga kura? Ni wale ambao wanaabudu kwa kusikiliza ujumbe wa Mungu wao (KAKOBE) redioni maana akisafiri hakuna ruhusa ya mtu mwingine kuendesha ibada. Hawa wanapiga kura kweli?
Wapinzani jitafakarini sana, waaseni vijana wenu mitandaoni wabuni mbinu mpya za kupambana na serikali ili kupitia kwao siku moja mshike dola. Hamuezi kushika dola kwa Hoja za akina Kakobe.
Me mjinga kweli nahitaji kuelimishwa zaidiukitaka kumjua mtu MJINGA mruhusu aongee.. jina lako tuu linasadifu kuwa kichwani umejaa MATOPE

Pumzika kijana huna ulijualo..Me mjinga kweli nahitaji kuelimishwa zaidi
Ila uache kuzinadi pumba zako huku
Ona ulivyo na pumba...!!!Pumzika kijana huna ulijualo..
Huwa anaomba kuombewa sasa ataombewaje bila kutubu. Atubu tu.KAKOBE ALITUMWA? MBONA WAPINZANI WAMEFANYA MASHAMBULIZI YAKE DHIDI YA RAIS MAGUFULI KUWA AGENDA ZAO? WAMEKOSA AGENDA ZA KUJISHINDANISHA NA SERIKALI YA CCM KWA WANANCHI?