Kakobe alitumwa?

Kakobe alitumwa?

Attachments

  • tapatalk_1499592326226.png
    tapatalk_1499592326226.png
    17.4 KB · Views: 23
Sio kila mtu mzima ni mzee kuna WAJINGA wengine wamezeeka.
 
Eti mwacheni anajenga tanzania mpya!! hiyo tanzania mpya inayo jengwa kila mara iko wapi mmetawala zaidi ya miaka 50 miaka yote mlikuwa wapi??
anajenga Tanzania mpya au anaibomoa? maana naona anabomoa hadi magorofa
 
Back
Top Bottom