Kakobe alitumwa?

Mkatubu kwa mauaji holela mnayofanya, uonevu, kukojolea katiba, ubaguzi n.k. MKATUBU
 
Nahisi Huu Upumbavu ulio andika ni upumbavu wa mwaka kuwai kuandikwa
 
kushtukiza, hivi ile episode ya yule soldier fake wa Lugalo iliishia wapi?
 
Nenda katubu kwamza
Mbonu hii si nyepesi kama uichukuliavyo....huu ni mkono wa Mungu mwenyewe ameshuku kutujibia nakutetea...ninyi niviziwi msiyesikia sasa lazma mtubu....tofauti na hapo Ni Gharika.
 
Pengo ndo alitumw na ccm kwa sababu kaongea km katibu mwenezi wa ccm anayeeneza uchafu lkn BABA ASKOFU KAKOBE kasema ukweli ambao ccm hawataki maana bak yao madarakani ni vyombo vya dola na uvunjifu wa katiba na sheria za nchi
 
Kakobe wala hajaanza leo kuropoka ovyo dhidi ya serikali na mamlaka, hasa baada ya kanisa lake kuingia katika migogoro. Anadhani kuingia siasani kutanusuru jina lake katika dini. Anazidi kupotea na mwisho wake hautakuwa mzuri. Mtaniambia
Tukwambie nini sasa??? Badala useme uliyopanga kumfanyia unakuja na manenoooo
 
Dawa imeingia naona mnahangaika mnashindwa kupinga hoja kwa hoja
 
Mleta uzi ama hujui ulikuwa unaandika nini au basi kuna unachokiwinda kupitia kutubu alikoelekeza Kakobe!
Nchi kuwa huru miaka 50+ maana yake nini? Ni kuwa zile goals walizoset wakati wa kupata uhuru walishazifikia na kuzivuka! Haina maana kuwa miaka ya leo bado tunajadili ukosefu wa dawa, maji, madarasa, barabara na viwanda kwani miaka 25 ilitosha tuwe tunavyo vyote hivi!
Na kwa miaka hii tulitakiwa tuwe tunajadili habari za teknolojia mpya ili tushindane na Korea kaskazini na china!
Kusema kuwa wananchi wanavihitaji hivyo vitu vya kizamani ni kwa kuwa hamkutimiza wajibu wenu kama chamadola kuhakikisha ilani na sera zenu zinatekelezwa sawasawa! Kusema kuwa mnatekeleza hili na lile la miaka 25 nyuma ni kuwadharau wananchi na kuwafanya kama wasioweza kuwaza na kuhoji juu ya kiwango duni cha upatikanaji wa husuma za jamii ilihali wao wanawalipa kodi na bado mnakwenda kukopa na walipaji ni wao lakini huduma hizo zimekuwa kama huruma au zawadi badala ya haki yao!
Msiwafunge mnyororo wa wakati wa ukoloni kuwa ili huduma za jamii zipatikane eneo fulani ni lazima mkoloni awepo eneo hilo! Hii si haki kutumia upatikanaji wa huduma za jamii ili mpate kura zao.
Wapeni wananchi haki yao kwani kodi wanawalipa na hawana haja ya kuwasifu kwa kuwapa haki yao.
 
Ndio ,katumwa na roho mtakatifu. Nikama ilivokuwa kwa Musa na wana wa Israel.
 
Mtoa mada kwanza inabidi uwaombe radhi Wandamba. Unajiita na kujitambulisha kutumia jina la watu makini na watu wanaotafakari kila neno walisemalo. Nawafahamu Wandamba hawawezi kuwa na mawazo kama hayo. Nadhani wewe ni msakatonge na mchumia tumbo kamwe huwezi kubeba jina hilo tukufu la Wandamba. Tafadhali waombe radhi Wandamba. Kama unatafuta U DC basi tumia kanzu nyingine siyo Wandamba ninaowajua Mimi. Aibu yako hiyo.
 
Watu ni wepesi kusaahau
Lowassa amewahi kusema "Ni zamu ya walutheri kutoa Rais." Ukiangalia wengi wanaomlaumu Rais ni waprotestant, na kama ukisikiliza moja ya hotuba ya Kakobe utasikia anasema "Catholic na Anglican." ni imani ya uongo

Je Serikali inawapendelea Wassuni na Wakatoriki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…