Kakakuona ameonekana bunju

kuna mtu alishawahi kusema humu kuwa mtanzania nayo ni moja ya maajabu ya dunia.. ngoja tusubiri kitakachotokea.....

mimi bado nipo usingizini sijui kinachoendelea.
 
Bado tu tunaamini kuishi kwetu kunategemea wanyama watutabirie?
 
Ki ukweli amani yetu iko njia panda! CCM ndio watakuwa chanzo cha umwagaji damu.
 
Hivi hata wathungu hutegemea kaka muona kutabiri future yao, au ni huku kwetu uswahilini tu? huyu mnyama kama ni kweli basi ana kipaji cha hali ya juu!

kumbuka ya pweza na Ujerumani wakati wa world cup
 

WATANZANIA BADO TU WAJINGA SANAsana
 

............... mbona hawakueleza baada ya hapo kaka kuona akaenda wapi?
 
Nilianza kwa kuwaomba mtumie busara mlizopewa na Mwenyezi Mungu katika kuchangia, naona wewe hata Mungu wako humuogopi kabisaaa!! Ee Mungu umsamehe kwa vile hajui atendalo.
naona sasa unapangia watu waseme nini kama umeleta mada huwezi wafikirisha watu kama unavyoamini wewe eti wachangie kile unachotaka la sivyo toa mada yako pliiiiiz HAPA MADA YA KAKAKUONA MUNGU AMEINGIAJE??????????
 
worrrrrdddddd!! Ni sala tu zitakazotuokoa!
 
anawekewa vitu na sio watu!
anawekwa dada mrembo anaambiwa alale pale among vitu kwani mwanamke si kitu ambacho unakinunua wakati wowote au nakosea mbona mnalipa mahela kwa wazazi wao si mmewanunua becarefull usifiche dhambi.
 
Ni mambo ya kawaida hata Pweza Paul aliaminiwa sana wakati wa World Cup!
 
thatha imeandikwa ole wake amtegemeae mwanadamu sasa kama Tanzania tunategemea wanyama............Ole yetu ni zaidi ya yaliyoandikwa
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hata mimi sina la kusema

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…