Ni bahati mbaya sana na jambo la kusikitisha kuwa mnyama huyo alipita vitu vyote ambavyo kama angevibusu pengine tungechekelea na badala yake alikwenda moja kwa moja na kuegemea silaha ya jadi aina ya PANGA.
Source:Kipindi cha JAHAZI, Redio CLOUDS.
Nilianza kwa kuwaomba mtumie busara mlizopewa na Mwenyezi Mungu katika kuchangia, naona wewe hata Mungu wako humuogopi kabisaaa!! Ee Mungu umsamehe kwa vile hajui atendalo.hivi kwa akili ndogo tuu ya darasa la nne TUNAHITAJI KAKA KUONA AJE ATUCHAGULIE PANGA BADALA YA AMANI???...MBONA INAJULIKANA TUNAKOE-LEKEA NA SI MUDA MREFU TUNAFIKA HUKO....NA YOTE HAYA NI KWA SABABU ZOOOTE ALIZOTOA MH. JOHN MNYIKA...tumefika hapa kwa sababu ya Udhaifu.........
Sio kwa bahati mbaya, jiandae kulinda makanisa yenu, hayo majambia hayo.
Hawakumwekea JAMBIA au MIKANDA YA MABOMU??Jana tarehe 29/10/2012 Mnyama KAKAKUONA ameonekana maeneo BUNJU katika Wilaya ya Kinondoni. Wananchi walimwekea NAFAKA, SILAHA ZA JADI, MAJI na vitu vingine ili aweze kutabiri yapi yatakayo jiri katika nchi yetu katika siku za usoni. Ni bahati mbaya sana na jambo la kusikitisha kuwa mnyama huyo alipita vitu vyote ambavyo kama angevibusu pengine tungechekelea na badala yake alikwenda moja kwa moja na kuegemea silaha ya jadi aina ya PANGA.
Binafsi sina la kusema, nawaachia wenzangu kwa hekima na busara mlizopewa na Mwenyezi mungu mtoe michango yenu kuhusu hili.
Nawasilisha.
Source:Kipindi cha JAHAZI, Redio CLOUDS.
Panga la oman au ?
Nilianza kwa kuwaomba mtumie busara mlizopewa na Mwenyezi Mungu katika kuchangia, naona wewe hata Mungu wako humuogopi kabisaaa!! Ee Mungu umsamehe kwa vile hajui atendalo.
Jana tarehe 29/10/2012 Mnyama KAKAKUONA ameonekana maeneo BUNJU katika Wilaya ya Kinondoni. Wananchi walimwekea NAFAKA, SILAHA ZA JADI, MAJI na vitu vingine ili aweze kutabiri yapi yatakayo jiri katika nchi yetu katika siku za usoni. Ni bahati mbaya sana na jambo la kusikitisha kuwa mnyama huyo alipita vitu vyote ambavyo kama angevibusu pengine tungechekelea na badala yake alikwenda moja kwa moja na kuegemea silaha ya jadi aina ya PANGA.
Binafsi sina la kusema, nawaachia wenzangu kwa hekima na busara mlizopewa na Mwenyezi mungu mtoe michango yenu kuhusu hili.
Nawasilisha.
Source:Kipindi cha JAHAZI, Redio CLOUDS.
Tatizo la pombe za viroba ndio hili.
Kakakuona kapigwa viroba ndipo kapewa nafasi ya kutabiri.
Sijui mlikuwa mnategemea nini
Hapa Makanisa yameingiaje mkuu?
Tena afadhali wangempa kitu cha konyagi, walimpa ile KIROBA ORIGINAL KUTOKA ARUSHAkwa hiyo 'walimtoa lock' kwanza ndo wakamwekea vitu atabiri
Wangemuwekea binti mrembo, Panga angeTUPA KULEE..!
Sijuw ndo kukata tamaa na mwelekeo wa amani,dah !