Kaka zangu wapendwa

Kaka zangu wapendwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
funny-fat-man-sitting-couch.jpg


Kaka zangu, mkifikia stage hii ni kuwa mkiwa mnaoga hamwezi kuona viungo vyenu vyote Mungu alivyoviumba, hii ni hatari sana.

images
 
Umemwona sasaivi lakini,jamaa kawa kipotabo anaweza valiana na jux,sema mzee alikuwa na confidence sana,mi nkiwa na mtindi kama huo sivui shati hata nkiwa na demu geto
 
funny-fat-man-sitting-couch.jpg


Kaka zangu, mkifikia stage hii ni kuwa mkiwa mnaoga hamwezi kuona viungo vyenu vyote Mungu alivyoviumba, hii ni hatari sana.
Sasa si ndo matumizi ya kioo yanapohitajika?? Au unadhani kazi ya vioo ni nini kwa mfano??? LOL
 
Sasa si ndo matumizi ya kioo yanapohitajika?? Au unadhani kazi ya vioo ni nini kwa mfano??? LOL
Khe kuna raha yake kuona viungo vyako vyote kwa macho si c/o ya kioo.
 
Khe kuna raha yake kuona viungo vyako vyote kwa macho si c/o ya kioo.

Mbona nyie mnafuga mizigo yenye neema za Allah huko nyuma lakini hamuioni mpaka mtumie vioo??

Acheni zenu bhana...
 
Mbona nyie mnafuga mizigo yenye neema za Allah huko nyuma lakini hamuioni mpaka mtumie vioo??

Acheni zenu bhana...
Zile ni accessories mkuu, kwani mikufu na hereni tunavyovaa tunaviona?
 
Zile ni accessories mkuu, kwani mikufu na hereni tunavyovaa tunaviona?
Hahahahaa umekomaa... duh!!

Afu utafiti unaonesha kadiri tumbo linavyoongezeka na storongo nayo inapungua. Kwa mfano huyo jamaa yako uliemweka hapo, akimaliza miezi mitatu hajanyoa mavuzi, hiyo ndude yake inapotelea mavuzini. Mkewe analazimika kupuliza mavuzi ili aione vinginevyo anaweza kuinyoa samamba na uvuzi... God forbid!
 
Back
Top Bottom