babylove
Member
- Oct 13, 2009
- 59
- 5
Happy people how are u? za siku nyingi. Kwetu tumejaliwa maumbile mapana chini ya kiuno, kwa sisi wadada kutembea tuna feel shy sometimes hasa tukiwa TZ maeneo ya kariakoo wanaume wanatutaniaga kwa kupiga miluzi.
Ishu kubwa hapa ni my bro yeye na ame adopt hio hali na ana jifeel noma kwani anakuwa na bottom kubwa na akitembea wenzake shuleni wamtania. Kuna aina gani ya zoezi au dawa ya kupunguza hilo eneo ili awe kama wanaume wengine? Msaidieni my bro is so unhappy. Tulirithi toka kwa wazazi wote.
Thanks guys we are waiting for solutions.