Soggy Doggy hujaoa tu, Mana tangu enzi za kibanda Cha simu umri utakuwa umeenda Sana😂Wachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari. Mimi kama Chief Lumanyika kutoka Bukoba, nikikikutana na Demu akaniambia na Mchaga automatically stimu zinaisha, japo sio Wachaga wote ila wengi wao wanaotoka huko kwao Uchagani, na wenye pesa wengi wanaukabila. At least wasukuma, mimi nimewai kwenda mpaka Usukumani na sijawahi kukutana na ukabila kwa Wasukuma... Unapewa mpaka mke bure Usukumani.
Ushauri wako nitaufanyia kaziTafuta dem wa huyo braza umchukue, usikae kinyonge.
Usiongee chochote hadi wakili wako afikeKila nikiandika nafuta
Hasa kule Sangamwalugeesha😆Wachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari....
Kwakweli nikae kimya🤭🤭Usiongee chochote hadi wakili wako afike
Halafu umenipigia kimya boboSasa Kaka ake anahusu nn ktk mapenzi yenu? Wee focus na mchumba ako.
Naam ss huu ndo ushaur wa kwendaTafuta dem wa huyo braza umchukue, usikae kinyonge.
Tafuta hela,Kuna pis nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga. Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila[emoji30]
Kaka mtu anakuepusha na mengi sana. Kwanza shukuru Mungu kwa kutokuwa mchaga tena katoe na sadaka kabisaKuna pis nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga. Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila[emoji30]