Kaka wa Obama Atangaza kumpigia kura Donald Trump

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
319
276
Mr. Trump is providing something new and something fresh': Obama's half-brother Malik announces he is voting for The Donald
  • Malik Obama has announced he is voting for Republican Donald Trump
  • His brother, President Barack Obama, has publicly backed Democrat Hillary Clinton in the race
  • Malik explained he was voting for Trump as 'he speaks from the heart'
  • He added he had been turned off the Democratic party by their support of same-sex marriage
  • The 58-year-old was opposed to Clinton after her email security scandal and after he blamed her for the death of his friend Colonel Gaddafi
  • Malik added he felt 'deep disappointment' at his half-brother's presidency
  • The half-brothers were best men at each other's wedding but relations have been strained by Malik's embrace of militant Islam, including Hamas
By HANNAH PARRY FOR DAILYMAIL.COM

PUBLISHED: 16:44 GMT, 24 July 2016 | UPDATED: 05:57 GMT, 25 July 2016

President Obama's half-brother Malik has announced that he is voting for Donald Trump in the next election.

In an interview with the New York Post from his home in Kenya, Malik said he was voting for the Republican candidate because 'he speaks from the heart.'

'Make America Great Again is a great slogan,' he said. 'I would like to meet (Trump).'

The former Democrat voter said he was voting for a Republican after feeling 'deep disappointment' at his half-brother's presidency.

368E229000000578-3705744-image-m-17_1469378007367.jpg

+6
368E229B00000578-3705744-image-a-18_1469378017202.jpg

+6

President Obama's (right) half-brother Malik Obama (left) has announced that he is voting for Donald Trump in the next election

Malik's announcement could be seen as a dig at his famous relative Barack, who has publicly backed Democrat candidate Hillary Clinton to take over from him after the November election.

But the 58-year-old, who lives in a rural Kenyan village but is still registered to vote in Maryland, has no plans to follow the president's footsteps and has criticized Clinton over her use of a private e-mail servers while secretary of state.

He also blamed both Clinton and his half-brother for the 2011 death of Libyan dictator Colonel Muammar Gaddafi - who he had described as one of his closest friends.

Malik even dedicated his 2012 biography to Gaddafi who he said had been 'making this world a better place.'

He is also uncomfortable about the Democratic Party's support of same-sex marriage - made legal across every state under his own half-brother's presidency.

'I feel like a Republican now because they don't stand for same-sex marriage, and that appeals to me,' he said.

Since the announcement, Trump has weighed in on his latest supporter, tweeting: 'Wow, President Obama's brother, Malik, just announced that he is voting for me. Was probably treated badly by president-like everybody else!'

368E228100000578-3705744-image-a-4_1469377938856.jpg

+6
Malik said he was voting for the Republican candidate Donald Trump (pictured) because 'he speaks from the heart'

368E22A100000578-3705744-image-a-5_1469377941978.jpg

+6
Trump has weighed in on his latest supporter, tweeting: 'Wow, President Obama's brother, Malik, just announced that he is voting for me. Was probably treated badly by president-like everybody else!'

GQ in 2013. 'I'm the one who brought him here to Kogelo in 1988! I thought it was important for him to come home and see from whence his family came – you know, his roots.'

Malik told MailOnline that year that his more famous half-brother is 'always at the end of a phone line if I want to talk.'

But Malik's embrace of militant Islam, including Hamas – a U.S.-designated terrorist organization – has seen the White House seek to distance the president from his half brother.

The president's half-brother has had at least 12 wives and was accused of beating two of them.

Polygamy is legal in Kenya if it fits within a person's religious or cultural traditions.

368E228800000578-3705744-image-a-6_1469377944342.jpg

+6
The Obama brothers have had a strained relationship over the years. They first met around 30 years ago and were best men at each other’s weddings (pictured is Malik holding up a photo of him and his half-brother)

1B0EDF4200000578-3705744-image-m-19_1469378148644.jpg

+6
Malik's embrace of militant Islam, including Hamas – a U.S.-designated terrorist organization – has seen the White House seek to distance the president from his half brother (Malik, second from right, with a Hamas scarf)

Meanwhile, Malik has previously chided Barack for not doing enough to help his Kenyan relatives.

‘I’m very proud of my brother, but I would like for him to do a little bit more for the family on this side. I would like to say he could send some money. I give money when asked. That’s what family is for. We’re not well off, though people think we are.’

He also said that the president did little to help his own foray into politics when he unsuccessfully ran for governor of the southwestern Kenyan county of Siaya in 2013.

'I don't think politics is my thing,' he told The Post. 'Honestly, I'll be happy when my brother is out of office, and I will finally be out of the limelight and be able to live like a human being.'

Perhaps the tensions between the pair may be the reason that Malik complained earlier this month that he hadn't heard from Barack about his visit to Kenya today.

'From what I hear, he is coming now as the president of the United States,' said 58-year-old Malik Abon'go Obama earlier this month during an interview at his home in Kogelo,Bloomberg reported.

'He should have at least informed us as his family.'

Malik Obama is now planning to return to Maryland, where he lives and worked for years as an accountant, to cast his vote in the November elections.

And he appears to be embracing his new politics proudly.

He even has one of Trump's Make America Great Again hats.

Read more: President Obama's half-brother Malik is voting for Donald Trump
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Yaani Trump anapendwa mpaka na magaidi!! Basi apewe tu huo urais atakuwa katuunganisha na kumaliza chuki miongoni mwa jamii.
 
Huyo ndiye kaka yake Obama? Ha ha ha! Hebu aache kujichukulia maujiko yasiyo na maana.
 
Malik Obama ni mmarekani??

I wondered the same! Atapigaje kura wakati hana uraia wa Marekani. Otherwise kama kura yake ni automatic just because he's Obama's half brother and Hamas die hard fanatic.

Hapana.....ni Mkenya so cant vote..itakuwa anataka tuu kumuumiza ndugu yake...hawaelawani...
Malik Obama sio mmarekani ni mzawa wa kenya, ila ana permanent residence ya US na amejiandikisha kushiriki zoezi la upigaji kura hapo November katika jimbo la Mayre land.

Ukiona hadi media house kubwa kama BBC wamelitilia maanani hili swala, basi ujue hata wao wenyewe hayo maswali tunayojiuliza lazima wawe wameyatafutia majibu na kujiridhisha na uhakika wake kwanza kabla ya kuipublish taarifa yao.

Hata mimi nilijiuliza hilo swali nilivyiona hii taarifa kwa mara ya kwanza.
 
Hivi ukiwa permanent resident unaruhusiwa kupiga kura? Kama ndio nitumie kipengele hicho nijuavyo mimi duniani kote lazima uwe na uraia ndio upige kura sio permanent resident.
 
Mkuu kwa kesi ya huyu Malik anaishi huko tangu miaka ya 1980s na inasemekana mmoja wapo ya watu waliochangia kumjenga Obama kisiasa, alikuwa akimpa inspirations sana kwenye politics.

Siwezi nikakupa kipengele hicho unachohitaji sababu hicho kipengela mimi sina, kuhusu uhalali wa yeye kupiga kura nimeona mahali wakitoa maelezo niliyosema.

Kila nchi ina sheria zake za kiraia na kwa marekani ukishakaa muda mrefu kupata uraia wa kudumu ni rahisi sana.na ukishapata wewe unakuwa sawa na raia mzawa.

Ndio maana mtu kama Anord Shwerzinegger sio mzawa wa marekani, lakini kwa miaka 30 aliyoishi US tayari alikuwa na sifa za kuwa gavana wa jimbo.
Usishangae Mange Kimambi anajiamini vile kwa kupost chochote anachojiskia matandaon, ni kwa sababu sasa hivi analindwa na sheria za marekani na anaamini hizi sheria za bongo haziwezi kumdhuru labda siku akija bongo.
 
Kuishi marekani miaka 50 sio kigezo kama unaweza kupiga kura. Nimeingia kwenye mtandao wa Google na umeshanipa jibu kuwa huwezi kupiga kura mpaka uwe raia. Kama Malik kishakuwa citizen na sio permanent resident basi anayo haki kama wamerekani wenyewe. Lakini kwa ulivyo sema kuwa ni permanent resident basi hawezi kupiga kura.
 
Hapana.....ni Mkenya so cant vote..itakuwa anataka tuu kumuumiza ndugu yake...hawaelawani...
Siasa za kuchafuana ndio hizi! Wakenya wana vituko! Barack Obama ni president aliyependwa sana duniani ana mapungufu kwani naye ni mwanadamu. Mr Trump hang on time will tell!
 
Malik Obama sio mmarekani ni mzawa wa kenya, ila ana permanent residence ya US na amejiandikisha kushiriki zoezi la upigaji kura hapo November katika jimbo la Mayre land.

Ukiona hadi media house kubwa kama BBC wamelitilia maanani hili swala, basi ujue hata wao wenyewe hayo maswali tunayojiuliza lazima wawe wameyatafutia majibu na kujiridhisha na uhakika wake kwanza kabla ya kuipublish taarifa yao.

Hata mimi nilijiuliza hilo swali nilivyiona hii taarifa kwa mara ya kwanza.
Kwa hiyo ana uraia wa marekani?
 
Mkuu kwa kesi ya huyu Malik anaishi huko tangu miaka ya 1980s na inasemekana mmoja wapo ya watu waliochangia kumjenga Obama kisiasa, alikuwa akimpa inspirations sana kwenye politics.

Siwezi nikakupa kipengele hicho unachohitaji sababu hicho kipengela mimi sina, kuhusu uhalali wa yeye kupiga kura nimeona mahali wakitoa maelezo niliyosema.

Kila nchi ina sheria zake za kiraia na kwa marekani ukishakaa muda mrefu kupata uraia wa kudumu ni rahisi sana.na ukishapata wewe unakuwa sawa na raia mzawa.

Ndio maana mtu kama Anord Shwerzinegger sio mzawa wa marekani, lakini kwa miaka 30 aliyoishi US tayari alikuwa na sifa za kuwa gavana wa jimbo.
Usishangae Mange Kimambi anajiamini vile kwa kupost chochote anachojiskia matandaon, ni kwa sababu sasa hivi analindwa na sheria za marekani na anaamini hizi sheria za bongo haziwezi kumdhuru labda siku akija bongo.
Kuishi miaka mingi si hoja.hoja ni kuwa tayari ana hati ya uraia wa marekani?
 
Raia tu ndio anaweza kupiga kura, kuna uwezekano ni raia.
 
Kwa Marekani hakuna mzawa ila Wahindi wekundu tu. Wengine wote ni wakuja, ila ni raia / wanaweza kupata uraia. Na si kwa muda mrefu ulioishi bali ni sheria unaruhusu ukiomba. Permanent resident hawezi kupiga kura
 
Raia tu ndio anaweza kupiga kura, kuna uwezekano ni raia.

Niliona kwenye hoffingtone post ya US politics wakielezea kwamba amekuwa mkazi wa jimbo la Maryland kwa zaidi ya 30 years na hivyo probably atakuwa na dual citizenship..

Alafu kwa hali ya kawaida, hivi kweli anaweza akajisemea tu hayo maneno wakati huo anatambua sifa za mpiga kura ni zipi?
Kumbuka huyo sio chizi na anajitambua.

Back
Top Bottom