C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Feb 18, 2016 #2 Huu uchokozi wa ngumi! Teh! Kwa hiyo hawa ni wadogo zake au?!
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,850 Feb 18, 2016 Thread starter #3 Chosen generation said: Huu uchokozi wa ngumi! Teh! Kwa hiyo hawa ni wadogo zake au?! Click to expand... Wanaomba dawa nao wawe ma white kama ray.Tumaji
Chosen generation said: Huu uchokozi wa ngumi! Teh! Kwa hiyo hawa ni wadogo zake au?! Click to expand... Wanaomba dawa nao wawe ma white kama ray.Tumaji
othiambo JF-Expert Member Nov 15, 2014 1,992 2,787 Feb 18, 2016 #5 Hahahah,chinekeeeeeeeeee, akamshauri na MPOKI jaman ili abadilike.
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 18, 2016 #6 Duh!! Mi simo, na wala sijasoma ulichoandika
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 Feb 18, 2016 #7 Hii sayansi ya Ray atakuwa kaisomea juu ya Jua sio chini ya Jua
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,128 Feb 18, 2016 #8 Asilimia kubwa ya mapato yake amewekeza kwenye mkorogo.
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Feb 18, 2016 #10 Mimi naanza program ya kunyonya SIMTANK nione......