Kaka na dada

Kaka na dada

Namkunda OG

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
827
Reaction score
1,048
Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
 
Usijali Dada nimekusikia sitakuita tena Dada.
 
Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Hahaha unataka akuiteje labda?
 
Tupo wengine mbona unateseka nini acha aendelee kukuita dada sisi tule tunda hilo
 
Back
Top Bottom