Yes... I am fed up.... Nimekuachia ila sio bure itabidi unilipe gharama zote nilizo mtunza huyu mwanaume.
Kaizer? No way. Jaribu mwingine nitakuachiaA1. Eiyer hajashindwa chochote.wizi mtupu!
Lol!
Haaaa Lady doctor morning ...umekuwa kuwadi wa Karucee jamani....
hapana mie sio kuwadi..... Yaani najitahidi tu kunusuru ka ndoa kangu
Haa iyo ni beyond repair ujue😀😀
Apana tindikali italeta matatizo zaidi..mtie kamba...lol
<s><u>b><i>r><i>----------<k><w><a><n><z><a>.
nyumba ndogo hiyo utaikaribisha sasaa hiviyaani kusafiri kidogo tu tayari hubby kesha kuwa na macho mia
nyumba ndogo hiyo utaikaribisha sasaa hivi
Just say the total amount
hamna. Nampenda kweli hivyo. Ila mwanao anajitahidi kweli kusambaratisha ndoa zangu.
Kaizer? No way. Jaribu mwingine nitakuachiaA1. Eiyer hajashindwa chochote.
hahahahaha. Ungejua?
shangaa na wewe
Nishakupa rule moja ili ndoa yako ipone
Not really. Akinipa ka jamaa katakakonivutia nitaachana na Arushaone
Aninyonge eeh?
Doctor can we do something?
yeah.... I think we can do something mtumishi
i see something new here.
its like Eiyer is in need of dominating more than three owned wives..
cc: Karucee, Lady doctor
i see something new here.
its like Eiyer is in need of dominating more than three owned wives..
cc: Karucee, Lady doctor
Kwani Karucee ni mke wa nani mkuu? Lady doctor najua wala hilo halina ubishi!