Kajipu uchungu

Kajipu uchungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,461
Reaction score
829,856
1450329219467.jpg
 
Kwa kuwa sasa hivi Elimu ni bure hii hali haitakuwepo tena kwa sababu kila mtu atajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa.
 
Kwa kuwa sasa hivi Elimu ni bure hii hali haitakuwepo tena kwa sababu kila mtu atajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa.
Wapoti isiwe bure tu bali na ubora uwepo
 
Last edited by a moderator:
Hapo anafikiri ni bango la biashara kama mengine yaliyotapakaa kila sehemu
 
Mmoja alisema biashara ni ile yenye kodi TRA hizi za ushuru wa mgambo Halmashauri ni uchuuzi, tangazo lilipaswa kusema biashara na uchuuzi haviruhusiwi hapa, ukikamatwa faini 50,000/- nusu ni ya atakayekukamata
 
Hahaha hakuna jinsi
tatizo hayo mabango huwa yakutafutia visa TU
Sehemu ambapo kuna kamchanganyiko ka biashara ndio wanaleta bango
 
Tunaanza na majipu halafu ndio vijip usijali kote tutafika mkuu
 
Kama anatoa risiti halali kwa malipo halali haina shida.
 
Anaweza akawa anachoma tu mahindi then anagawa bure, sio biashara / au anapeleka kuuza sehemu nyingine hivyo hilo tangazo not applicable!
 
Anaweza akawa anachoma tu mahindi then anagawa bure, sio biashara / au anapeleka kuuza sehemu nyingine hivyo hilo tangazo not applicable!
Kiongozi, hii imekaa kibiashara zaidi na hapo ni barabarani.

Ingekuwa anapeleka kuuza sehemu nyingine angeyachomea hata uwani kwao na sio hapo barabarani
 
Back
Top Bottom