Kajifungua mnyama

Kajifungua mnyama

Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?

Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?

By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.
Kutoamini uwepo wa uchawi (ambao umetajwa kwenye vitabu vitakatifu vya dini) kwa sababu hujawahi kuushuhudia, ni sawa na kusema huamini hata uwepo wa Mungu maana kwani yeye umewahimshuhudia wapi pasi na shaka?

Haileti mantiki kusema unaamini Mungu yupo na ana nguvu kuliko chochote then useme huamini uwepo wa nguvu kinzani (satanism) ambao ndio kipimo cha kusema Mungu ana nguvu zaidi!

Hata hivyo ndio maana nikasema huwezi kuchanganya udaktari na spiritual matters.

Uko sahihi, unachagua uamini au ausiamini kitu gani. Ni uamuzi tu.
 
Dah pole sana jamaniii

Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi

Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa

Tumtafute Mungu na nguvu zake jamani
Unasikitisha sana kuamini hiyo habari.
 
Mnaoita uchawi mara nyingi huwa kimoja ya vitu hivi viwili au vyote kwa pamoja.

1.Ugonjwa wa akili
2. Utapeli.
 
Unasikitisha sana kuamini hiyo habari.
Unaruhusiwa kusikitika sababu ya habari lakini sio usikitike sababu ya mimi... sababu mimi na wewe tunaweza kuwa na tuexperiences tofauti

Kikubwa sote Tumtafute Mungu na nguvu zake
 
Zongo hilo...
Inasikitisha sana...

Ila hapa Kuna kitu kama tunataka kusahaulishwa...
 
Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.

Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu.

By the way, uchawi mwingine ni wa kufikirika tu! Kama huu wa huyu mwanamke.
Hpa mwisho wa siku utaskia Kuna mganga wa sijui wapi kanisaidia namba zake hizi hpa.

Biashara matangazo
 
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?

Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?

By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.

Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu. Hapa ndipo ulipokosea, conclusion. Ungeeleza tu ya daktari na msimamo wako juu ya hili suala. Mengine waachie.
 
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?

Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?

By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.
Mimi nilishtukia kile kilio. Kilikuwa cha kisanii. Kuna ka utapeli fulani alitaka kumtapeli mumewe...
 
Back
Top Bottom