Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.
Duuu kuna baadhi ya wanawake wajinga sana, yani kumbe hiki ndio kina wafanya wagombane tena huyu ni mme wa mtu. Duuuu kweli si wema wala kajala ambaye yuko timamu.
Hili swala lisinge wagombanisha.
Hivi mkuu warumi naona leo unachochea kuni,hivi ni nani kati yao yuko tayari kuyamaliza?
Hawa wajinga sana wanagombea kitu ambacho hawawezi kukimiliki.
Hivi huyu wema si yuko na diamond? Kwanini asiwe wa kwanza kutafuta suluhu? Au kwanini kajala asiwe wa kwanza kutafuta suluhu?
Hawa vichaaa wanapenda sana magazeti na kujadiliwa, kwao kila kitu ni chance.
Huyu demu kajala alihojiwa akasema aliwahi kumuomba wema msamaha maana alijua yeye ndo kaharibu , ila alisema hakufanikiwa yaan wema alimchomolea nje.
Wema aliwah kuongea kuwa kagombana na kajala kwa kuwa kajala alimsema vibaya kwa watu baada ya kumkopa kajala laki mbili ya show walioifanya uko arusha kipindi flan, kajala akawa anamkejel kwa watu wa pemben kuwa kwa nn aandae show ya bei mbaya wakat pesa hana?? Wapambe ndo wakamfikishia wema , wema ndo aka mind kwa nn kajala amseme vibay kwa ajili ya lak mbil wakat yeye alimtolea mil 13 ili atoke jela?? Ndo aka mmind , sasa haijulikan kama kajala kwel alisema au wapambe walitak kuwagombanisha mana wema alisema aliaambiwa na watu akusikia
Me yangu ndo hayo na ndio ukweli. Umbea nao kipaji yabidi uwe na uhakika na unachokisema hapa.
Likija swala linalomhusu wema warumi huwezi kuwa fair hata siku moja and thats it, hata Matola analijua hili.
Mkuu warumi kwa alicho fanya Kajala ni usaliti japo wote si mume wao lakini Kajala ana stahili lawama.
Kwa Wema anavyo onekana ni wazi ni mwepesi kusamehe lakini yuko katika wakati mgumu pengine anaogopa kuporwa Diamond.
pengine Kajala hajaomba msamaha kama anavyo jaribu kusema, pengine hakumaanisha na akaonesha hakumaanisha na pengine mazingira yana mhukumu katika hili.
No one is parfect lakini Kajala alionesha ishara mbaya kwa alicho fanya japo hakuna mmiliki kati yao, hebu tujiulize kilicho pelekea Kajala kufanya vile ni nini? Pengine alikuwa ana mmkomoa na kutaka kumuonesha mwenzie.
Bila shaka wata yamaliza.
Sawa bwana Matola , ila hili ndo jukwaa watu wengi wanapita, usipo comment lazima uchungulie...
Nadhani ni Tamaa tu ya maisha mazuri , wema kanyamaza kimya , marafiki zake wengi ni wanafik sana , sema ana huruma sana na mwepesi kusamehe ndo maana watu wana take advantage hyo , ila mwisho wa siku Clement ni mume wa mtu , nadhan wema yupo na diamond kwa sasa , watulie watengeneze maisha japokuwa wema hatak kurudisha gari la pink la kaka clement.
Kutesa kwa zamu
Kikulacho...
Kwani aliambiwa arudishe? hizo ndio gharama za mapenzi kwani huyo Clement hakujua mapenzi yana gharama zake? hizi ni tabia za watoto kabisa kudai vitu mambo yanapo kwenda kombo.
Ndo maana huwa sipendi kuendekeza ushost mbele ya mwanaume wangu mie....
mashost wakae mbali kabisa habari za ushemeji sizitaki
Wema si yuko na Domo, sasa hilo bifu anaendekeza la nini au ya Domo haifikii kwa ya Clement.?
Nadhani ni Tamaa tu ya maisha mazuri , wema kanyamaza kimya , marafiki zake wengi ni wanafik sana , sema ana huruma sana na mwepesi kusamehe ndo maana watu wana take advantage hyo , ila mwisho wa siku Clement ni mume wa mtu , nadhan wema yupo na diamond kwa sasa , watulie watengeneze maisha japokuwa wema hatak kurudisha gari la pink la kaka clement.
Ni nini hivi vinajadiliwa humu..huyu kajala ni mmoja ya wale waliotekwa na boko haram au mjumbe wa bunge la katiba