Kajala Masanja simuelewagi

Huyu Mama si ndiye aliyekua anamshutumu Hamisa kumpeleka mwanae kwa Rayvanny , Kajala huyu huyu alimpeleka Rayvanny polisi kisa anatembea na mwanae ambaye ni mwanafunzi, leo hii anamuachia tena yule yule aliyemdhalilisha mwanae mitandao ndo adate na mwanae na she doesn’t care at all.

Mh nilikua nataka kumchamba ila roho inakataa Coz huyu Mama akili zake sio nzuri kabisa, anakompeleka mwanae sipo kabisa, mtoto akimshindwa polisi au UKIMWI vitamsaidia kulea mtoto wake, mi namuonea huruma tu Coz ndo mtoto wake wa pekee Jamani, mdomo koma Warumi mie ptuu , yetu macho tu wambea tutayaona.


View attachment 1793253
Mtoto kakua na ana apetite kuliko mama zake.

Muache achezee sharubu za simba waliopagawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom