Kaja kuomba samahani bila aibu

amerogwa!! Ati nini?huyo ndye mchawi anataka kuroga kuwaseparate kati ya maagano ya mungu kwa binadamu kuwa tusizini bali tufunge ndoa kwanza. Sasa naona ananyemelea ili wahairishe.

Tushamshiba aende kwa alie bora.
 
Kama katimiza ahadi yake ya kulala na mama yake kwanza ndipo amrudie ndugu yenu basi mpeni mke wake, vinginevyo mcharazeni bakora
 
Yaani mkimsamehe huyo mbwa ntaamini dunia hii ina maboya wa kutosha, hata mimi ntalala na nyie mmoja mmoja. Mngenionyesha huyo mtu naweza hata kumshoot! Ila msishange mdogo wenu akiahirisha kuolewa akarudiana naye, si unajua wanawake wanapendaga kweli?
 
Kabla sijachangia nieleweshe kwanza-nyumba iliyotolewa kama zawadi kwa mdogo wako bado jamaa anaimiliki au mnampango gani kuhusu nyumba hiyo?
 
Kabla sijachangia nieleweshe kwanza-nyumba iliyotolewa kama zawadi kwa mdogo wako bado jamaa anaimiliki au mnampango gani kuhusu nyumba hiyo?
Nyumba Tulichukua kwake,lakini alitoa milango madirisha furniture zote ndio akapeleka kwa huyo mwanamke mwengine.
 
Sijakuelewa vizuri ukisema utalala na sie Mmoja Mmoja unamaanisha nini?
 
Kama katimiza ahadi yake ya kulala na mama yake kwanza ndipo amrudie ndugu yenu basi mpeni mke wake, vinginevyo mcharazeni bakora
Bado na kapewa mpaka feb22 manake Harusi ya mdogo wangu ni first week march.
 
Kama alimtaliki kwa kashfa tele, huyo ni mkewe tena. Labda amlale mama yake kama alivyoahidi

Kama amejishushs na kugundua kosa lake hakuna haja ya visasi.Hayo ni mambo ya ndoa,huwezi jua labda shemeji yenu alikutana na gubeli zoefu lililompotosha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…