kaizer you are great......................! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kaizer you are great......................!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gfsonwin, Jul 2, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  wapenzi wa chit chat habari za asubuhi.

  This morning napenda kumpa big up ma swtlo Kaizer kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi babu yetu Asprin akafunguliwa huko jela.

  Its true Kaizer you are good and strong ever. Ndio maana miye kulala pasi kukupa dose siwez manake unanikosha kila engo aisee.

  Pia naomba nitangaze bifu kwa wote ambao wataanza ama waalioanza kukumendea kwa kazi nzuri hasa BADILI TABIA Catherine cacico sweetlady Lily Flower waambie kabisa kuwa nimejiunga boxing club so salam zao zote zipitie hapa kwangu and not otherwise.

  Welcome babu and good job my hubby, wa kumoyo, ma swtlo my nyongo mkaa na ini, my kope mfunika jicho, my msiri, my mwandani my godoro, my blanketi my wa raha zangu............. Kaizer
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yeah.....
  Appreciated
  Kwa kweli Kaizer nimefurahi kuhakikisha Mzee mwenzetu babu Asprin karudi ingawa nilikuwa nimenogewa kukagua wajukuu hadi nkachelewa maandamano ila hakuna tatizo! gfsonwin Asante kwa kutambua umuhimu wa Kaka yangu Kaizer
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  halafu weye Erickb52 naona ulifurah sana manake uliingilia kazi ya ukaguzi sasa imekula kwako aisee.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  aisee Erickb52 huyu Kaizer kwangu ni zaid ya unavyofikiri, na mpelekee salam zangu huko anapoziba pancha kuwa swtlo wake gfsonwin anampenda sana na leo kwa kazi aliyomfanyia Asprin basi kamuandalia bonge la dinner(candle night) pale serena hotel. card za mialiko nimeshatuma kwa waalikwa wote kila mtu na patna wake mtoto wangu Ronn M anisamahe sana kwa siku ya leo na wadogo zangu wa moyoni Smile Eiyer Excellent.
  Bishanga sijui weye utakuja na nani, Kongosho naye sijui ataopoa wapi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Siunajua kazi ya ukaguzi msaidizi ni Mimi?
  Babu amenioamini sana na hamwamini mwingine zaidi yangu
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hehehee
  Mimi kama kawaida nakuja na my wife Amyner na si mwingine
  Nampenda sana bibie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  uwiiiii gfsonwin umejuaje kuwa Kaizer mkweo ni wa kushukuriwa kwa kweli, my dear umeona mbali! nimepungua uzito kwa ajili ya uhamisho wake wa jana, wanted to run mad kabisaaaaa! japo ni mume wa BADILI TABIA lakini tutabanana hapo hapo, anayeona kabanwa apishe wengine tuendelee! mkwe Kaizer kudos to u! Kongosho aliandaa party jana sijui inafanyikia wp?? nitahudhuriaje sasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  basi karibuni na msisahau ku press order ya cocktail
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  My sis gfsonwin mi nitakuwa Dj mbona waalikwa wataburudika sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  miye ya kwangu tayari kila kitu mamito. mwambie tu mumeo youg_master ajiandae na usiache kupress order ya cocktail. Hii ya Kongosho miye sijaalikwa japo ya kwangu kwaajili ya kuburudika na barafu ya moyo nimemwalika. leo mwache BADILI TABIA aje na Asprin wake.

  Umeona eti wanahofu na mimi na wewe? tuendelee kuwamg'adua tu don't say anything kwa yeyote kuhusiana na mimi na wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheheeee
  Mi kama kawa Ndofu baridi na wife white wine safiiii
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  my lito bro huku ni kwa wakubwa tu. si umeshaskia kuwa ni candle night? miye sitafurah kuona ninavyo mpeti shemejiyako Kaizer. but nakupenda sana ma lito bro Excellent
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  \
  shaka ondoa umepata Erickb52.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Eeeh! Haya mambo ya mjini yananichanganya! Kaizer, namsubiri sweetlady tunakuja tufanye mazungumzo ya kifamilia kidogo. Hii blue monday imeshakuwa green sasa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  gfsonwin hahahaha jamani ila mi dj tu,aah ila umetuonea.......nakupenda sana tena zaidi my sis
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  ....mmhh..!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mi nawe ni wasiri wa moyoni! hakuna kitakachotutia dosari, wakwao tutashare kwa sana tu, ila wa kwetu kila mmoja na hogo lake la jang'ombe! nimemmiss babu yangu Asprin isijekuwa yupo likizo tena kha! safari hii maandamano yataanzia viwanja vya leaders via 'safe house' ambapo mod husika atakula kichapo na kung'olewa macho na ulimi kwa plaiz, then haooooooo mpaka mabwepande mwe! ila magamba kiboko kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  hapana bwana ma lito bro Excellent, ninyi nawaheshimu sana na nawapenda sana, sitaki niwakuze b4 your time. so waambie Smile Eiyer na mwanangu mpenzi Ronn M kuwa nawapenda sana na ipo siku nitawaandaalia mtoko wenu mzuri zaid. your sis loves you ema..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Madame B mbona unaguna sasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Madame B, mbona unaguna?........... Excellent ni mdogo wangu jamani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...