cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
Nipo mke wangu. Unaendeleaje? Umemwona bimdogo cacico anataka uniachie mazima? Nami nshawazoea mkiwa wawili ntafanyaje sasa?
bby wangu Asprin! hizo raha zote za kwangu??? utanifanya nikuloge sasa ili nisishee na mtu, ili uwe unanikagua only me! mwahhhh mu sugar! nitapendezaje sasa?? nije na bikini au nivae nguo?? sema wewe, coz to me u r mo than a master!
bora unisaidie kuuliza! sijui ana-google nini??ODM kuna ka file ka Picha umeshakatengeneza naona unazichomoa moja bada ya nyingine.
Kaizer ain't i sweet enough to you ma swtlo? miye nakupenda sana jamani and naona wivu juu yako papito.haiwezekani BADILI TABIA kutamani si kitu cha kawaida tu? lol:sleepy:
![]()
bby hilo gari badilisha bwana, wameshalicrem, why not u buying me lileeee kama la yule wa arsenal aliyemgonga mboni masimba alivyokujaga! mi nalitaka lile bwana, puliiiiiiz sugar!
Sasa leo jiandae basi tutoke, nshaweka booking pale Giraffe Hotel tukajichane niongezamo nguvu asee. Staki kukunyima ile raha uitakayo bana. Si wajua nlizaliwa kwa ajili yako?
bby wangu Asprin! hizo raha zote za kwangu??? utanifanya nikuloge sasa ili nisishee na mtu, ili uwe unanikagua only me! mwahhhh mu sugar! nitapendezaje sasa?? nije na bikini au nivae nguo?? sema wewe, coz to me u r mo than a master!
Wahi sasa hivi bana... nna kiu ya kukukiss....worry not, i will! nije thaa ngapi?? hakikisha mkeo mkubwa hayupo coz nisingependa kung'olewa masikio kwa plaiz! lolest! nawaogopa magamba kuliko ibilisi kha!
Hahaha... huu mshedede wangu una bahati sana. Ulishapata ajali nyingi sana lakini ukaponea chupuchupuaisee BADILI TABIA huyu Asprin angekufa si unaona matokeo yake ilikuwa samaki ale mshedede wake? nishukuru manake sasa umepona. Najua hapo umesema humtamani Kaizer wangu lakin moyoni unaumia. huyu sitaki kushare na mtu aisee
woooooooooow this coming from you swtlo gfsonwin am sooooooooooooooo humbled! nimefurahije sasa?
hata hivyo ilikwua imeandikwa babu ODM atakufa na siku hiyo hiyo atafufuka kutoka kuzimu
Nawashukuru sana wana chit chat waandamizi, Kongosho, u r so special and u were instrumental katika kuhakikisha anatoka, kuandamana uchi chuku chuku na Judgement sio kazi ndogo, lile tamko lingeleta zahama kama lingetolewa
Madame B, mkwe cacico, BADILI TABIA, Erickb52 mdogo wangu (aliacha kupiga ndovu) Pombekali, platozoom, ODM, Mazandu, mjukuu mupya Catherine wote mlishiriki kikamilifu, na busara za Invisible zikamwachia Asprin HUKO ALIKO
gfsonwin baby am so thankful tufurahi pamoja and i can imagine candle nite itakuwa sio mchezo leo, wadogo zako Excellent na Eiyer na Smile waje tu ila watakuwa na sehem yao maalum ya kukaa.
he he he he! hebu niachie sweet pie wangu! nani anathubutu kumfanyia hayo makitu bby wangu, chezeiya Asprin weye?? nadhani alikuwa analala na spana na plaiz mkononi, ila nitakupa feed bak baadaye, coz leo hatanikagua tu, tutakaguana! lolest!
speechless!! in michael jacksonns voice!Aisee.......!!:embarrassed: