Kaini alipata wapi mke wake?

Weak point.
 
Kama haipo kwenye Biblia basi haina nguvu. Tunataka maandiko ya bible
 
Uzao wa adam na HAWA haukuwa wa kawaida kama sasa hivi.
adam alikuwa anatembeza mashine usiku na mchana.na mama hawa alikuwa anazaa nwendo wa mapacha mapacha.
mimi na wewe tusingeweza kuijaza dunia.
 
Sawa
 
Mbona hili swali Lina majibu rahisi tu kutoka kwenye biblia? Soma biblia Kuna mifano mingi kuonesha idadi ya watu.
Mfano Yesu alipolisha mikate watu elfu tano, biblia inasema watu elfu tano kuacha wanawake na watoto. Kumbe yawezekana wanawake na watoto walikuwa wengi kuliko " WATU ELFU TANO".
Maana Yake wanawake walikuwa hawahesabiwi ndo maana hatujui huko Kaini alikooa kulikuwa na wanawake wangapi.
 
Ukionana nae muulize ni wapi Mungu aliandika kwamba ndugu waoane ili waongezeka afu baadae akabadili.

Hiyo biblia uliyoandika matukio mwngine ipo wapi? Hapa ndio wanapotuibia hawa jamaa
 
Yaani kuna uzembe katika kuchagua imani..ishu yoote hawataki kusema kwamba tupo wanaadam ambao walizaliwa ma binaadam na wanaadam ambao hawatakiwi kùandikwa asili yao kabisa sababu wakiandikwa hamtaishi kwa raha mustarehe! Inawezekana Adam anawakilisha wanaume tu! Na hawa anawakilisha kiumbe mwingine ambae asili yake bado ina utata mpaka leo! BINAADAM HATUKO SAWA.
 

Natamani kuzisoma hizi theory zako in deep Chief, if you don’t mind unaweza kuendelea zaidi?
 
Haya makitu hayapatani na akili ya mtu timamu
Yanapatikana ila maandiko yana uzito sana, ndiyo maana Matendo 17:30 inasema "Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu."

Hii ina maana kubwa sana kwenye ulimwengu wa maonyo juu ya yale yaliyofanyika hapo kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…