First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
Binti: honey vp mbona sikuelewi?
Men: kivipi?
Binti: jamani kabla hatuenda gesti siuliambia kuwa tukimaliza utanijengea nyumba?
Men: aaa! Ilikuwa trick ya kukupata, mi mwenyewe nalala stand!
Binti: umesema???
Men: hujanisikia??
Binti: haya bhana, nashukuru!
Men: nashukuru na mimi pia, nilienjoy sana!!
Hahahahahahahahaha!!!! Imekula kwa..........