Kaingia bar na kisu

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
512
Wadau,

Nimetoka kula lunch hapa bar ya C2C IRINGA Kihesa, ila kuna kijana hapa nimemkuta kaagiza bia anacheza mziki huku kachomeka kisu kikali kwenye gram boot zake.

Kiusalama hii imekaaje?Na anazidi kunywa bia
 
Mkuu siku hizi watu wana stress sana. Fanya haraka utoke hapo
 
Hivi kutembea na silaha za jadi si marufuku?? Mwenye uelewa wa sheria juu ya hili tafadhali
 
Kama ni mmasai anayo haki hata kama anaelewa.
 
Hana shida kwa Iringa sioni tatizo ila angeingia na KAMBA duh ungetafuta msaada wa polisi. Hakawii kujinyonga hata chooni.
Kama ni kisu hana tatizo.
 
Wacha nicheke kdg,Mpaka unaandika huu uzi ujui sheria za Tanzaia zinasemaje kuh silaha za jadi?
 
C2C ni kati ya madanguro bubu mjini Iringa tehee tehee pana hatari sana hapo ngoja giza lichukue nafasi na mimi naja hapo kula pia
 
Hebu hamia kwenye meza yake umchunguze kwa ukaribu ana nia gani.
Vipi anakunywa safari lager au?
 
Wadau,

Nimetoka kula lunch hapa bar ya C2C IRINGA Kihesa, ila kuna kijana hapa nimemkuta kaagiza bia anacheza mziki huku kachomeka kisu kikali kwenye gra

m boot zake.

Kiusalama hii imekaaje?Na anazidi kunywa bia

Tawanyikene
 
Amekuja kumsubiri jamaa anaemla mke wake.
 
Mbona hamuwsulizi wamasai wanaotembea na sime kiunoni?
 
Hakuna sheria inayosema kutembea na kisu ni kosa.ila endapo kisu hicho kitatumiwa vibaya...ndiyo...atakuwa na makosa...mfano..akitishia mtu....kumbuka sheria itamlinda pindi ikidhibitika alitumia kisu hicho kujilinda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…