ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,997
- 2,242
Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita nilikua naroast kahawa ya kiwango cha juu,kuisaga n kuiuza kwa Ndugu,Marafiki na watu kadhaa wanaoujua ninachofanya.
Mwaka huu nimeanza kuitangaza Rasmi as A Premium coffee Roaster. Nauza a premium arabica coffee staright from Kilimanjaro ambayo inakua Roasted 48 hours kabla ili kuhakikisha unapata fresh coffee yenye ladha zote.
Bei za Kahawa ya Brewa
Kahawa yetu ni ya daraja la juu — Premium Arabica kutoka Kilimanjaro, iliyokaangwa kwa ustadi na kufikishwa kwako ndani ya masaa 48 tu baada ya kuchomwa. Hakuna kahawa bora zaidi sokoni kwa sasa
Bei ya Kahawa
• 200g – TSh 10,000
Inatosha vikombe 20–25, perfect kwa wiki moja ya matumizi binafsi
• 450g – TSh 19,000
Ideal kwa familia, ofisi ndogo au matumizi ya kila siku
Unapochagua Brewa, unapata kahawa safi si kahawa iliyokaa shelfini mwezi mzima kama zingine
Huduma Maalum kwa Ofisi & Biashara
Tunatoa subscription ya kila wiki au kila mwezi, kwa ofisi, maduka, saluni, boutique, studio na biashara yoyote inayopenda kuwapa wafanyakazi au wateja wake kahawa bora.
• Delivery ni bure ndani ya Dar es Salaam
• Tunapokea maombi ya mashine za kahawa pia (Drip au Automatic)
• Tunaweza kusaga kulingana na matumizi yako: French press, Drip, Moka au hata Whole Beans
Unahitaji kahawa kwa ajili ya:
• Tukio maalum?
• Hoteli au mgahawa?
• Kifurushi cha zawadi kwa wateja au marafiki?
Tuma oda yako, na tutakutengenezea kifurushi maalum kulingana na mahitaji yako.
Agiza Leo kwa WhatsApp:
[+255753038470]