Ukilima kahawa Tanzania unakuwa masikini tu maana inakodi kama zote. Pale Kagera, kahawa Tanzania inauzwa bei ndogo kuliko kahawa hiyo hiyo inayouzwa Uganda.
Na ukijaribu kuvisha ukauze Uganda inakamatwa uhujumu uchumi kwa kusafirisha magendo
Watu wa Kilimanjaro wanakaribia kumaliza kuing'oa kwenye mashamba yao. Hawaitaki kabisa