Moses Odhiambo, George Owino, John Baraza, Edwin Bukenya, Jerry Santo, Crispin Odulla,Kahata mchezaj mzuri tu sema misumar bongo ndio tishio sijawai kuona mchezaj akatoka Kenya akaja kuwika bongo zaid ya bonifas Amban na Ben mwalala sijui hawaamin kweny uchawi