Hivyo vya kwako vya taifa nfra takwimu ndo hizo ukianza kuchukua takwimu za godown za watu mitaani makambako Kuna mtaa zaidi ya miwili godown tupu za makaopuni na watu binafsi ko sisi tumefocus za NFRAUmesahahau vihenga vya kanondo vinahifadhi zaidi ya tani 30000.
Kinara wa mahindi ni ruvuma na wanaolina kule wanatoka njombe ko yakivunwa lazima yaende makambako ko ndo maana tumekwambia makambako imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji mkubwa ndo maana wametarget hata kuweka soko pale hapo bado hatuja ongelea maharage na mpunga Mfano bonde la usangu na bonde la kilombero bado matunda na makambako mazao yanasafirishwa kwa maroli na treni kwenda nchi tofauti pia serikari Ina godawn hadi za mazao MENGINE kama kahawa ,tumbaku ,sukari na yote hayo tren linaingia hadi ndani kushushia nje ya godawn za bidhaa tofauti ka za TFA MBOLEA,GODAWN ZA TAZARA,DEPOT ZA CEMENT KAMPUNI ZA DANGOTE ,TEMBO CEMENT ,SIMBA CEMENT ,AZANIA, MO , depot za mafuta za puma na ya Serikali wamechukua ekari kadhaa ujenzi wa tank haujaanza N.K pia reli walishafikisha hadi eneo la soko la kimataifa la mazao makambako ni eneo ambalo liliandaliwa kwa mfumo huo toka enzi za mwl Nyerere ndo maana hata reli pale iliingizwa kwenda kwenye godawn tofauti tofauti pia waliweka bandari kavu na eneo la kupakilia mbao na uzur reli ya TAZARA inaenda kufufuliwa ko miundo mbinu yote inarudi mahala pake na ndio maana mkoa umeamua kuwa makambako ndo uwe mji wa viwanda na biashara kwa Sababu wanajua urahisi wa kupata raw materials na urahisi wa sokoRukwa msimu wa mwaka 2021 tani zilizo zaliswa laki 6.5,ruvuma sikatai lakini rukwa mahindi ndo icon ya mkoa. Na msimu wa mwaka 2023 mkoa ulizalisha Tani laki 8(800,000)za mahindi pekee.
Polisi HQ ,Njombe View attachment 3005717
We mbona mbishi sana vihenga vya kanondo ndo vyakisasa vinahifadhi all most tan elfu30+ afu unasema vyamitaani shida yako unachukua tahalifa ambayo aipo updates afu unaandika yaani kukop na kupesti.Hivyo vya kwako vya taifa nfra takwimu ndo hizo ukianza kuchukua takwimu za godown za watu mitaani makambako Kuna mtaa zaidi ya miwili godown tupu za makaopuni na watu binafsi ko sisi tumefocus za NFRA
We mbona mbishi sana vihenga vya kanondo ndo vyakisasa vinahifadhi all most tan elfu30+ afu unasema vyamitaani shida yako unachukua tahalifa ambayo aipo updates afu unaandika yaani kukop na kupesti.View attachment 3008958Soma maelezo ya Kanda ya sumbawabga ndo utajua na hivyo vihenge vipya ndo watakuwa na tan ngap soma mstari kwa mstari
Unataka nipigwe banned ndo unielewe? Ubaelekezwa unakua mgumu kuelewa kama boga?.SOma maelezo ya Kanda ya sumbawabga yanajieleza vizuri mno au ingia website ya kanda
Endelea kubaki hivohivo na unacho amini ila tambua ruvuma ndo kinara wa mahindi na nikanda inayokusanya mkoa mmoja sio sawa na sumbawanga wanachangiana na mpandaUnataka nipigwe banned ndo unielewe? Ubaelekezwa unakua mgumu kuelewa kama boga?.
Endelea kubaki hivohivo na unacho amini ila tambua ruvuma ndo kinara wa mahindi na nikanda inayokusanya mkoa mmoja sio sawa na sumbawanga wanachangiana na mpanda
Ndo akili zako zinavokutuma ukubwa wa pua si uwingi wa kamasi ko HiYo hoja Yako Haina mashiko Cha msingi ni watu kutumia vyema ardhi full stopView attachment 3009343View attachment 3009344Akili kisoda wewe mwaka jana mkoa wa rukwa pekeake ulifanikiwa kuvuna tan lak8 za mahindi kuhusu ruvuma sikatai lakini tupo chati moja yaani wao wakiwa tan la8 sisi lak7 average ipo sawa
Itoshe kusema mkoa wa ruvuma ni mkubwa kuliko mkoa wa rukwa kwani waweza kuingia ata mala3 ya mkoa wa rukwa nikijunlisha na ukubwa wa alidhi naona bado hawajatufikia ata kwa asilimia 2.
Apo ndo ulefu na mwisho wakufikili kwako kulipoishia auwezi fikili zaidi yaapo mala pua mala kamasi nafikili nenda fb ndo kwenye michambo uku ni hoja na facts nimekueleza utaki kuelewa.Ndo akili zako zinavokutuma ukubwa wa pua si uwingi wa kamasi ko HiYo hoja Yako Haina mashiko Cha msingi ni watu kutumia vyema ardhi full stop
Unafact gan ww unatulembeshea maneno wakati tumeshakupa data za tan zinazohifadhiwa sumbawabga we kabla na baada ya ujenzi wa vihenge we unatuletea story za kwenye vibanda vya kahawa hapaApo ndo ulefu na mwisho wakufikili kwako kulipoishia auwezi fikili zaidi yaapo mala pua mala kamasi nafikili nenda fb ndo kwenye michambo uku ni hoja na facts nimekueleza utaki kuelewa.
Unafact gan ww unatulembeshea maneno wakati tumeshakupa data za tan zinazohifadhiwa sumbawabga we kabla na baada ya ujenzi wa vihenge we unatuletea story za kwenye vibanda vya kahawa hapa
😂😂😂View attachment 3009532
Nenda kabishane Facebook.
“We are glad that our maize deliveries to New Kapiri Mposhi and Bulawayo have been achieved in record time so far,” says Eng Ching’andu following the completion of phase one of the haulage of 17,000MT of maize, with each train taking an average of 2.5 days between Makambako and New Kapiri Mposhi. Over 8,000MT has already been transported to New Kapiri Mposhi so far. Zambia Railways Ltd and National Railways of Zimbabwe have continued to do their part. #TazaraMustRevive #Tazara #ZRL #NRZView attachment 3009532
Nenda kabishane Facebook.