Hii naona upembuzi bado ingawa nayo saiz Kuna uwezekano mkubwa kuja kuwekwa lami maana tayari Kuna madini ya chuma yamegunduliwa lupila na masisiwe ambako tayar wachina wameanza Kaz ya kuyachimba
Makambako tc wadau baada ya kuambiwa kuwa kupitia mradi wa TACTIS wataivunja stendi ilyopo na kujenga upya wadau wapo Kasi kuwekeza mijengo ya biashara