ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
- Thread starter
-
- #18,261
Punguza undezi bk maghorofa yapo vijijini kabisa sio huko kwenu mpaka usafiri kwenda wilayani ndo uone ghorofaAcha ushamba wewe ,magorofa Hadi Wilayani yanajengwa 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C2oYGFnIBPT/?igsh=MTVnbzNhaGdrdGc4Yg==
Punguza undezi bk maghorofa yapo vijijini kabisa sio huko kwenu mpaka usafiri kwenda wilayani ndo uone ghorofa
Uzuri unajua kinachoendelea kwenye bandari zetu za Bukoba na kemondo
Hakuna kitu huko 👇Uzuri unajua kinachoendelea kwenye bandari zetu za Bukoba na kemondo
Mkuu uparikanaji wa viwanja vya makazi upoje Kahama?Usifananishe KAHAMA na vitu vya kijinga.
Tazama hii video Bukoba ni construction site...Kila sehemu kuna ujenzi aisee...Utalii una Nguvu sana ,Iringa inaenda kuwa na Majengo marefu Kwa sababu ya Utalii.
View: https://www.instagram.com/p/C2t_aKxKdEq/?igsh=MTJqbXZ3ZHM0OGFtYg==
Wew si mtu wa mabasi...Utalii una Nguvu sana ,Iringa inaenda kuwa na Majengo marefu Kwa sababu ya Utalii.
View: https://www.instagram.com/p/C2t_aKxKdEq/?igsh=MTJqbXZ3ZHM0OGFtYg==
Sasa unatutisha Kwa Mabasi ya shule au?Tazama hii video Bukoba ni construction site...Kila sehemu kuna ujenzi aisee...
Halafu wew so mtu wa mabasi😂 tazama hapa
View: https://www.instagram.com/reel/C2u_K5RNU0e/?igsh=MWl3NHd5dGpiYjV6ZQ==
Wew si mtu wa mabasi...
Tazama matajiri wenyew sasa
View: https://www.instagram.com/reel/C2uZlKON0Iy/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Sasa hilo nalo ni jengo refu mzee?Utalii una Nguvu sana ,Iringa inaenda kuwa na Majengo marefu Kwa sababu ya Utalii.
View: https://www.instagram.com/p/C2t_aKxKdEq/?igsh=MTJqbXZ3ZHM0OGFtYg==
Sasa hiz nyumba zako ziko vijijini muleba huko ndani ndaniSasa unatutisha Kwa Mabasi ya shule au?
Construction site ipo wapi hapo kamji kamepauka hivyo?
Njombe is way better than Bukoba Fishing Village
View attachment 2889398