KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Mbeya city hili jengo kali kinomaaa aiseeeMimi rasmi nahamia mbeya ....
Sio Kwa ukali huu ...like Stockholm [emoji91][emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2549600
Sent using Jamii Forums mobile app
🔥🔥Let vitu vya maana bas
Shule ni kama hii View attachment 2549721
Maajabu gan hapo au huo mkunjo wa hovyo sikia pimbi hyo Barabara ingejengwa njia nne au wangeipanuaga ingependezag sana lakin ni hovyo at Ile songwe to tunduma mm ningekuwa rais ningewapa at njia sita nateseka mno nikipita hko Kwa wajaa laana hivo wajitahid maana at mm nafaidika nayo aisee